Dk Bilal azungumza na Watanzania waishio Burundi

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiwaaga baadhi ya Watanzania waishio Burundi baada ya kumaliza mazungumzo alipokutana nao Bujumbura Burundi Novemba 30 na kuzungumzia mambo mbalimbali yanayoendelea nchini Tanzania. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na baadhi ya Watanzania waishio Bujumbura Burundi, baada ya kumaliza …

Ugandan team do the double and walk away with ‘best of the best’ crown

LAST night’s Guinness Football Challenge had the audience on the edge of their seats as four of the best teams from the series returned to go head to head, in the hope of being crowned Champion of Champions. In Red were Joseph and Fenton from Kenya, winners of episode 6; the Blue team were Fredy Jordan and George from Tanzania …

Bush ampongeza JK kwa huduma za afya!

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete Desemba Mosi, 2011, alikutana na kufanya mazungumzo na Rais mstaafu wa Marekani, George W. Bush ambaye yuko Tanzania kwa ziara ya siku sita. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam, viongozi hao wamezungumzia jinsi Taasisi ya Bush ‘Bush Institute for Global Health’ inavyoweza kushirikiana na Tanzania katika …

Wateja wa Vodacom kupata taarifa za afya na kimapenzi

Na Mwandishi Wetu KAMPUNI ya mawasiliano ya Vodacom Tanzania imezindua huduma ya ‘Young Africa Live’ itakayowawezesha wateja wake kupata taarifa sahihi za afya, mahusiano na ngono kuanzia Desemba Mosi mwaka huu. Kwa mujibu wa taarifa kutoka kampuni hiyo inaeleza kupitia huduma hiyo wateja wa Vodacom watapata fursa ya kuunganishwa na wadau wa masuala ya afya na mahusiano ya jinsia ikiwa …

BMW na Toyota kuunda nishati mbadala

Kampuni mbili kubwa duniani za kuunda magari, zimeamua kushirikiana kiufundi, na kutengeneza magari ambayo hayatachafua sana mazingira. Toyota na BMW walitangaza ushirikiano huo wao mpya nchini Japan, siku chache kabla ya maonyesho ya magari kufunguliwa rasmi nchini humo. Kati ya mipango yao ya pamoja ni kutengeneza betri bora zaidi kutumika katika magari yanayotumia umeme. Makampuni mawili yanayoongoza kwa utengenezaji wa …

Mgambia atarajiwa kumrithi Ocampo ICC?

Fatou Bensouda anatarajiwa kutajwa kuwa mwendesha Mashtaka mkuu mpya wa Mahakama ya kimataifa ya ICC. Wakili huyo mwenye umri wa miaka 50 kutoka Gambia ni naibu wa Luis Moreno-Ocampo, ambaye muda wake unaisha mwakani. Awali alifanya kazi kama mwanasheria katika mahakama ya kimataifa ya Rwanda nchini Tanzania. Kesi zote za ICC mpaka sasa zinatoka Afrika, na baadhi ya viongozi wa …