CUF wamkabidhi JK mapendekezo yao juu ya Katiba Mpya

Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete na ujumbe wa serikali yake umekutana na kufanya mazungumzo na ujumbe wa Chama cha Wananchi (CUF) ukiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Machano Khamis Ally kuhusu namna ya kuboresha Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya Mwaka 2011. Mkutano huo umefanyika asubuhi ya Desemba 2, 2011, Ikulu, mjini …

Ethiopia, Djibouti na Somalia zaaga mashindano ya Tusker

Na Mwandishi Wetu TIMU za Somalia, Djibouti na Ethiopia leo zimeyaanga rasmi mashindano ya Kombe la Tusker Chalenji jijini Dar es Salaam yanayofanyika katika Uwanja wa Taifa nchini Tanzania Somalia imekuwa ya kwanza kuaga mashindano hayo baada ya kufungwa michezo yote kwa jumla ya magoli 11. Timu za Djibouti yenyewe imeyaanga mashindano ya Tusker baada ya kukubali kichapo cha magoli …

President Kikwete and Former US President Bush in a tele conference

President Kikwete and First Lady Salma Kikwete with former US President George W. Bush with his wife Laura Bush visit one of the wards at the Ocean Road Cancer Institute where they talk to one of the patients of pelvic cancer. Photos Courtesy of State House President Kikwete and Former US President Bush at the Ocean Road Cancer Institute where …

Mr. Ebbo kuzikwa Jumatatu ‘Masai Camp’ Arusha

Na Janeth Mushi, Arusha MWIMBAJI maarufu wa miondoko ya bongo fleva kwa ‘tune’ na staili ya Kimasai, Abel Rusheraa Motika, almaarufu – Mr Ebbo aliefariki dunia jana saa nne usiku mkoani Arusha anatarajiwa kuzikwa Jumatatu kwa wazazi wake eneo la Masai Camp. Akizungumza na gazeti hili leo mjini hapa Alois Loshila Motika ambaye ni kaka mkubwa wa Mr. Ebbo amesema …

Wachezaji 1,200 watoto kushiriki tamasha

Na Mwandishi Wetu WACHEZAJI mpira wa miguu (wasichana na wavulana) wenye umri kuanzia miaka 6-12 kutoka Mkoa wa Dar es Salaam watashiriki katika tamasha (festival) litakalofanyika Desemba 17 mwaka huu Uwanja wa Taifa. Akitoa taarifa hiyo kwa vyombo vya habari leo Dar es Salaam, Ofisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface Wambura amesema tamasha hilo litatanguliwa …