ICC yataka waziri wa ulinzi Sudan akamatwe

MWENDESHA Mashtaka Mkuu wa Mahakama ya Uhalifu wa Kivita (ICC), Luis Moreno-Ocampo ametuma maombi ya kukamatwa kwa Waziri wa Ulinzi wa Sudan, Abdelrahim Mohamed Hussein kwa tuhuma za uhalifu Darfur. Katika ufafanuzi wake Ocampo alisema Hussein anatuhumiwa kwa uhalifu wa kivita na uhalifu dhisi ya ubinadamu uliofanyika mwaka 2003-04, wakati huo, Hussein akiwa mwakilishi wa Sudan katika eneo lake la …

Ngorongoro Heroes yaanza kwa sare

Na Mwandishi Wetu TANZANIA (Ngorongoro Heroes) imeanza kwa sare michuano ya Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Kusini mwa Afrika (COSAFA) kwa vijana chini ya miaka 20 inayofanyika Gaborone, Botswana. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TFF, kupitia kwa Ofisa Habari wake, Boniface Wambura ni kwamba, mchezo wa Desemba 2 mwaka huu dhidi ya mabingwa watetezi Zambia uliofanyika Uwanja …

Orodha ya wachezaji walioachwa na kusajiliwa dirisha dogo Ligi Kuu ya Vodacom

LIGI KUU YA VODACOM 2011 – 2012 WACHEZAJI WALIOACHWA – YANGA SC No Jina la Mchezaji Klabu Anayotoka Klabu Anayohamia 1 Fred Wilfred Mbuna YANGA SC MORO UNITED 2 Julius Patrick Mrope YANGA SC MORO UNITED (kwa mkopo) WACHEZAJI WALIOSAJILIWA – YANGA SC No Jina la Mchezaji Klabu Anayotoka Klabu Anayohamia 1 Athuman Idd HURU YANGA SC 2 Atif Amour …

Rais Kikwete amkumbuka marehemu Wakati

Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ametuma salamu za rambirambi kwa Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC), Clement Mshana kuomboleza kifo cha aliyekuwa Mkurugenzi wa Radio Tanzania, marehemu David Wakati. Mzee Wakati aliaga dunia Desemba Mosi, 2011 kwenye Hospitali ya Regency kwa matatizo ya ugonjwa wa sukari. Katika salamu za rambirambi, Rais …

Banda la Wizara ya Fedha ndania ya Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru

Baadhi ya Wafanyakazi wa Wizara ya Fedha na taasisi zake wakiwa kwenye picha ya pamoja ndani ya banda lao la Wizara ya Fedha na Taasisi zake katika Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara yanayoendele katika Viwanja vya Mwalimu Julius K. Nyerere (Sabasaba). Kutoka kushoto, Kaimu Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha Bw. Bedason A. …

Dk. Bilal afungua barabara ya Nelson Mandela jijini Dar

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal na Kaimu Balozi wa Umoja wa Ulaya, Enrico Strampeli, wakikata upete kwa pamoja ikiwa ni ishala ya ufunguzi rasmi wa Barabara ya Nelson Mandela, uliofanyika Desemba 2, Temeke jijini Dar es Salaam. Kulia kwa Makamu ni Waziri wa Ujenzi, Dk. John Magufuli na (kulia) kwa Balozi ni …