The opposition NCCR-Mageuzi party has expressed dismay over President Jakaya Kikwete’s quick decision to sign the controversial Constitution Review Bill into law, noting that the move clearly shows that the head of state has ignored public outcry on the matter. “NCCR-Mageuzi has been saddened by what the president did…this shows that the president, who is the head of the country, …
Ivory Coast yakaribia kufanya uchaguzi
JUMUIA ya nchi za Afrika Magharibi, ECOWAS, inasema kuwa itatuma ujumbe wa wachunguzi 60 kusimamia uchaguzi wa bunge nchini Ivory Coast Desemba 11, 2011 kufuatia ombi la serikali ya nchi hiyo. Huo ni uchaguzi wa mwanzo kufanywa tangu uchaguzi wa rais wa mwaka 2010 uliokuwa na utata, na ambao ulizusha vita na kusababisha watu takribani 3,000 kuuwawa. Taarifa zaidi kutoka …
UVCCM wasema wazee ni tatizo ndani ya CCM
*Asema ndicho kiini cha mpasuko, hali ndani ya chama si shwari MAKAMU Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Benno Malisa, ameibuka na kudai kuwa wazee ndio kiini cha mipasuko na mivutano ya kisiasa ndani ya chama hicho na taifa, huku akionya kuwa hali ya kisiasa ndani ya chama hicho tawala kwa sasa si ya kuridhisha, kwani kimepoteza mwelekeo …
Edward Lowassa atembelea Banda la Wizara ya Fedha Sabasaba
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Serikali ya Awamu ya Nne na Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, akimsikiliza Msemaji Mkuu wa Wizara ya Fedha, Ingiahed Mduma katika Banda la Wizara hiyo kwenye Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara katika Viwanja vya Mwalimu Julius K. Nyerere jijini Dar es Salaam jana. Waziri Mkuu mstaafu na Mbunge wa Monduli, …