Wanafunzi wasichana, wameongoza katika orodha ya wanafunzi bora 95 wa fani tofauti za utaalamu wa matumizi ya ardhi wa Chuo Kikuu cha Ardhi (ARU), jijini Dar es Salaam, waliotunukiwa tuzo za kufanya vizuri kwa kipindi cha miaka minne iliyopita ya masomo chuoni hapo. Masomo yanayofundishwa na ARU, mengi ni sayansi ya hifadhi ya mazingira, ardhi na majenzi na upimaji, ambayo …
Mameneja wa TANROADS mikoa wabadilishwa
Na Mwandishi Wetu MTENDAJI Mkuu wa Mamlaka ya Barabara za Taifa (TANROADS), Injinia Patrick Mfugale amefanya mabadiliko makubwa kwenye safu ya uongozi ya TANROADS katika mikoa yote 25 ya Tanzania Bara. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Msemaji wa Wizara ya Ujenzi, Martin Ntemo amesema mabadiliko hayo yamelenga kuongeza ufanisi katika kusimamia miradi ya barabara hasa mikoani. Amesema mameneja walioteuliwa …
Wabunge CCM `Ndiyo`, Upinzani wasema `Hapana`
Baada ya Serikali kuongeza posho kwa wabunge, baadhi yao wametofautiana juu ya uamuzi huo huku wengine wakitaka Serikali iongeze posho kwa kada zote. Hivi karibuni, vyombo vya habari viliripoti kuhusu nyongeza ya posho za vikao kwa wabunge kutoka Sh. 70,000 hadi Sh. 200,000 kwa kikao kimoja. Wakizungumza na NIPASHE Jumapili kwa njia ya simu jana, wakati baadhi ya wabunge wa …
Benki ya Twiga kutumia miundombinu ya Benki ya Posta kutoa huduma
KATIKA jitihada za kuboresha huduma za kibenki na kusogeza huduma zaidi kwa wateja, Benki ya Twiga Bancorp Limited inaanzisha ushirikiano na Benki ya Posta Tanzania kutoa huduma ya kusafirisha pesa (monygram). Akiongea na gazeti hili, katika viwanja vya Mwalimu Julius Nyerere (sabasaba) ambako benki ya Twiga inashiriki maonesho ya miaka 50 ya uhuru, Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Twiga, …
Serikali izinduke kukabili polisi wanaoendelea kuua raia kikatili!
Kule Kasulu mkoani Kigoma, wiki hii limeripotiwa tukio la kutisha kwamba Jeshi la Polisi linawashikilia askari wake wanane wa kituo chake wilayani humo kwa tuhuma za kumtesa, kumpa kipigo na kumuua raia, Festo Andrea akituhumiwa ujambazi wa kutumia silaha. Ikadaiwa kuwa askari hao walimpiga kichwani na kwenye mbavu kwa kutumia kitako cha bunduki na kumwekea miti kwenye sehemu zake …
Benki ya Posta yajivunia mafanikio miaka 50 ya Uhuru
Na Joachim Mushi BENKI ya Posta Tanzania (TPB) mwakani imejipanga kuhakikisha inaweka utaratibu mzuri utakaowawezesha wananchi vijijini hasa wakulima kuweza kutumia huduma za kibenki maeneo ya vijijini. Akizungumza na dev.kisakuzi.com leo jijini Dar es Salaam kuelezea mafanikio ya TPB ya miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara, katika maonesho ya maadhimisho ya sherehe hizo, Ofisa Uhusiano wa Benki ya Posta, …