THE 16th International Conference on AIDS and Sexually Transmitted Infections (STIs) in Africa (ICASA) opened in Addis Ababa, Ethiopia on Sunday evening with a theme “Own, Scale-up and Sustain”. Speakers in the opening ceremony included the former US President, George W. Bush, the Prime Minter of the Federal Democratic Republic of Ethiopia, Meles Zenawi and the Executive Director of the …
Maonyesho ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara yanaendelea.
MAONYESHO ya kuadhimisha miaka 50 ya uhuru wa Tanzania Bara yanaendelea katika viwanja vya Maonyesho vya Mwalimu JK Nyerere, barabara ya Kilwa Jijini Dar es Salaam. Maonyesho hayo ambayo yamefunguliwa rasmi na rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Wawakilishi, Dkt Mohamed Shein yanashirikisha Wizara mbalimbali, Taasisi za Serikali,Mikoa, Halmashauri za Wilaya, Wafanyabiashara binafsi kutoka Bara, Visiwani na kutoka …
Sitta awapatanisha CCM na CHADEMA Arusha
Na Mwandishi Wetu, Arusha VIONGOZI mahasimu wa kisiasa mjini Arusha kutoka vyama vya CCM na CHADEMA juzi wamejikuta wakipeana mikono na kupatanishwa kanisani na Waziri wa Afrika Mashariki, Samuel Sitta kwenye hafla ya harambee. Viongozi waliopatanishwa ni Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini (CHADEMA), Godbless Lema pamoja na Meya wa Manispaa ya Arusha Gaudance Lyimo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) …
Robo fainali Kombe la CECAFA Tusker Challenge leo
MICHUANO ya Robo fainali Kombe la CECAFA Tusker Chalenji inaanza leo Desemba 5,2011 katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Ofisa Habari wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Boniface Wambura jana kwa vyombo vya habari leo zitapigwa mechi mbili mfululizo. Wambura amesema mechi hizo mbili ambazo zitafanyika Uwanja wa Taifa, Dar …