Serengeti Breweries yadhamini pambano la wabunge Vs Wawakilishi

*Pambano kufanyika 9 Desemba kati ya Wabunge na Wawakilishi Na Joachim Mushi KAMPUNI ya Serengeti Breweries Ltd (SBL) imetangaza udhamini wa pambano la kihistoria la mpira wa miguu na wa mikono ‘netball’ kati ya timu ya Bunge la Jamhuri ya Muungano Tanzania na ile ya Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi (BLW) Zanzibar. Hafla hiyo imefanyika leo jijini Dar es Salaam …

Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru; Mwelekeo wa BRELA

Na Damas Mwita Sabasaba-Dar es Salaam Katika Kuadhimisha Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara, Wakala wa Usajili wa Biashara na Leseni (BRELA) chini ya Wizara ya Viwanda na Biashara wamejivunia kuondoa urasimu katika utoaji wa huduma zake kutoka muda usiojulikana hadi kufikia siku moja hadi tatu kwa usajili wa majina ya biashara na siku tatu mpaka tano kwa usajili …

Makinda: Posho za vikao bungeni Sh. 200,000/-

SAKATA la posho za wabunge limechukua sura mpya baada ya Spika wa Bunge Anne Makinda, kupingana na Katibu wake, Dk. Thomas Kashililah, kuhusu wabunge kuongezewa posho za vikao kutoka Sh70,000 hadi Sh200,000. Mwishoni mwa wiki iliyopita Dk. Kashililah alitoa taarifa kwa vyombo vya habari kukanusha taarifa ya wabunge kuongezewa posho hizo, lakini jana Spika Makinda alisema posho hizo zimeongezwa na …

Kura rasmi za urais DRC kucheleweshwa

TUME ya Uchaguzi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo imesema itachelewa kutangaza matokeo rasmi ya kura za urais kutokana na matatizo ya usafirishwaji wa nakala za kujumlishwa kwa kura. Taarifa zinasema matokeo ya awali yanaonesha rais wa sasa, Joseph Kabila (pichani juu) anaongoza akiwa mbele ya wapinzani wake ambao tayari umesema hautamtambua kiongozi huyo kama rais baada rais wa Congo. …