Rais Kikwete kuzindua programu ya Urithi wa Ukombozi

Na Joachim Mushi RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete atakuwa mgeni rasmi kwenye uzinduzi wa Programu ya Urithi wa Ukombozi wa Bara la Afrika inayotarajiwa kufanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee Dar es Salaam. Taarifa hiyo imetolewa leo Dar es Salaam na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dk. Emmanuel Nchimbi alipozungumza na wanahabri. Nchimbi amesema programu …

Kamanda Kova mgeni rasmi pambano la ngumi

Na Mwandishi Wetu MLEZI wa Mchezo wa Ngumi Tanzania, Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Suleiman Kova anatarajia kuwa mgeni rasmi katika pamabano kati ya Rashid Matumla ‘Snake Man’ na Maneno Osward ‘Mtambo wa Gongo’ linalotarajia kufanyika Desemba 25 kwenye Ukumbi wa Heinken, Mtoni Kijichi Dar es Salaam. Pambano hilo lisilo la ubingwa linatarajia kuwa katika uzito …

Ngorongoro Heroes kurejea nchini Nov 9

Na Mwandishi Wetu, Gaborone TIMU ya soka ya vijana ya Tanzania ya umri chini ya miaka 20, Ngorongoro Heroes, inatarajia kurejea nyumbani kesho Ijumaa alfajiri ikitokea jijini hapa ambapo ilikuwa inashiriki kwenye mashindano ya vijana ya COSAFA ambayo leo yanaingia katika hatua ya nusu fainali. Ngorongoro Heroes iliyokuwa kwenye kundi ‘C’ ilimaliza hatua ya makundi ikiwa katika nafasi ya pili …

Mkutano wa mazingira kutoka na uamuzi mzito

Na Mwandishi Wetu MAKAMU wa Rais Dk. Mohammed Gharib Bilal aliungana na viongozi wa nchi mbalimbali wakiongozwa na Rais wa Afrika Kusini, Jacob Zuma katika meza ya mjadala kuhusu dunia tunayoitaka mjadala ambao pia ulimshirikisha Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Ki Moon na Mwenyekiti wa Kamisheni ya Umoja wa Afrika Jean Ping. Katika mjadala huo mataifa yaliyoshiriki yalikubaliana …

Nusu Fainali CECAFA Tusker Chalenji kesho

Na Mwandishi Wetu MECHI mbili za nusu fainali kuwania ubingwa wa 35 wa michuano ya CECAFA Tusker Challenge Cup inayoandaliwa na Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) zinachezwa kesho (Desemba 8 mwaka huu) kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na TFF, jijini Dar es Salaam na Ofisa Habari …

MUVI yatoa mafunzo ya Ujasiriamali na Uongozi wa Biashara

Na Ngusekela David, Tanga MRADI wa Muunganisho wa Ujasiriamali Vijijini (MUVI) umetoa mafunzo mbalimbali kwa wajasiriamali ili kuhakikisha inawajengea uwezo katika shughuli zao za kila siku na hatimaye kujikwamua kwenye lindi la umasikini. Mafunzo hayo yanayojulikana kama mafunzo ya ‘Ujasiriamali na Uongozi wa Biashara’ yamefanyika wilayani Handeni huku yakihusisha wakulima, mawakala wa pembejeo, wasindikaji pamoja na wadau anuai wa mnyororo …