Harakati za MUVI!

Ule  Mradi wa Muunganisho Ujasiriamali Vijijini (MUVI) unaendelea na shughuli zake (Picha zote na Dunstan Mhilu)

‘Msongamano wa ndege wapungua Julius Nyerere Dar’

Na Magreth Kinabo–MAELEZO SERIKALI imesema msongamano wa ndege zinazosubiri kutua au kuruka katika Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Julius Nyerere umepungua baada ya kuufanyia ukarabati mkubwa uwanja huo ambao umeongeza uwezo wa kuhudumia ndege 30 kwa saa badala ya nane. Kauli hiyo ilitolewa jana na Waziri wa Uchukuzi, Omari Nundu katika sherehe ya kuadhimisha siku ya kimataifa ya usafiri …

Wizara ya Elimu na Ufundi yaweka mikakati ya kukuza usomaji vitabu

Na Mwandishi Wetu WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi imesema imeweka mikakati madhubuti ili kuhakikisha kiwango cha usomaji wa vitabu kinakuwa nchini ikiwa ni pamoja na kuzogeza huduma za elimu kwa wananchi. Changamoto hiyo imetolewa leo jijini Dar es Salaam na Waziri wa wizara hiyo, Dk. Shukuru Kawambwa alipokuwa akizindua Bodi ya Huduma za Maktaba Tanzania (BOHUMATA) inayojishughulisha na …