Matukio Banda la Mambo ya Nje Maonesho Miaka 50 ya Uhuru Sabasaba

Ofisa Habari wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Assah Mwambene)(kulia) na Ofisa Habari wa Mpango wa Afrika Kujitathmini Kiutawala Bora (APRM), Hassan Abbas (kushoto) wakitoa ufafanuzi kwa watoto waliofika kwenye banda la wizara hiyo kuhoji masuala mbalimbali ikiwemo kuhusu upatikanaji wa viza, namna ya kusafiri nje ya nchi na haki za watanzania walioko nje ya nchi. …

Tanzania yautema ubingwa CECAFA Tusker Chalenji

*Yachapwa 3-1 na Waganda, mashabiki Yanga washerekea Na Joachim Mushi TIMU ya Taifa ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars jana imetolewa kuingia fainali katika Mashindano ya Kombe la Tusker baada ya kukubali kichapo cha mabao 3 kwa moja (3-1) kutoka kwa majirani zao wa Uganda. Kwa matokeo hayo Tanzania imeshindwa kutetea Ubingwa ambao ilikuwa ikiushikiliwa wa kikombe hocho cha CECAFA Tusker …

Empower women, girls to end HIV infection

ACTIVISTS on HIV have strongly advised African countries to invest in policies and programmes that empower women and girls to take action to prevent HIV infection as they are the most vulnerable groups. One of the Activist Anna Sango from Zimbabwe told the 16th International Conference on AIDS and Sexually Transmitted Infections (STIs) in Africa (ICASA) in Addis Ababa, Ethiopia …

Mtoto wa Gaddafi ataka kukimbilia Mexico

*Mexico washtuka, wazuia mpango huo SERIKALI ya Mexico imesema imezuia njama iliyokuwa ifanywe na kundi la wahalifu la kumpenyeza kwa magendo mmoja wa watoto wa aliyekuwa kiongozi wa Libya Kanali Muammar Gaddafi nchini Mexico. Saadi Gaddafi amekuwa kwenye kifungo cha nyumbani nchini Niger iliyopo Afrika Magharibi tangu alipoikimbia Libya mwezi Septemba. Msemaji wa serikali ya Mexico, alisema Saadi Gaddafi na …