‘Mwanaume’ Tusker Chalenji ajulikana

*Ni Timu ya Taifa ya Uganda, yatwaa Kombe na USD 30,000 Na Joachim Mushi HAYAWI hayawi! sasa yamekuwa, hatimaye kidume wa Mashindano ya Kombe la Tusker Chalenji linalodhaminiwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti Breweries Ltd (SBL) amejulikana leo katika Uwanja wa Taifa wa Dar es Salaam. Kidume ni Timu ya Taifa ya Uganda ambayo imefanikiwa kuing’oa Timu ya Taifa …

Dk. Shein aishauri BOT kuhusu huduma za kibenki

Na Rajab Mkasaba, Dar es Salaam RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameitaka Benki Kuu ya Tanzania (BOT) kuandaa mazingira mazuri ili Benki zinazota huduma kwa kufuata masharti ya Kiislamu ziwe kwenye wigo mmoja na Benki nyingine nchini. Rais Dk. Shein ameyasema hayo leo katika uzinduzi wa Tawi jipya la Benki ya Watu …