THE Joint United Nations Programme on HIV/AIDS (UNAIDS) and the United States President’s Emergency Plan for AIDS Relief (PEPFAR) has launched a five-year action framework to accelerate the scale up of voluntary medical male circumcision (VMMC) for HIV prevention. The framework, developed by the World Health Organization (WHO), UNAIDS, PEFPAR, the Bill & Melinda Gates Foundation and the World Bank …
Mkutano Mkuu wa Mtandao wa Malezi Makuzi na Maendeleo ya Mtoto Tanzania wafanya uchaguzi
Kwa mujibu wa katiba ya Mtandao wa Malezi Makuzi na Maendleo ya Mtoto Tanzania, uchaguzi mkuu hufanyika kila baada ya miaka mitatu. Ni kidindi zaida ya miaka mitatu sasa tangu uchaguzi mkuu ufanyike na hii ni kutokana na ukosefu wa fedha ya kuitisha mkutano huu. Mkutano huu umekuwa ni wa lazima pia kutokana na mabadiliko ya katiba ambayo yamelenga kupunguza …
SPEECH BY THE PRESIDENT OF ZANZIBAR, DR. ALI MOHAMED SHEIN, AT THE OPENING OF “THE FIRST INTERNATIONAL SYMPOSIUM ON IMPACTS, VULNERABILITY, AND ADAPTATION TO CLIMATE CHANGE IN SMALL ISLAND DEVELOPING STATES” AT ZANZIBAR
First and foremost, I would like to take this opportunity to thank the Almighty God for availing us good health to be able to attend this important symposium. I understand that some of you have travelled from different countries and therefore let me take this opportunity on the behalf of the people of Zanzibar and Tanzania in general to welcome …
Viongozi wafurahishwa na Tanzania kujiunga na APRM
Na Mwandishi Wetu MPANGO wa AfrikaKujitathmini Kiutawala Bora (APRM) unaotekelezwa hapa nchini, umetajwa kuwanyenzo muhimu ya kusaidia nchi kuimarisha utawala bora. Hayo yalielezwa jijiniDar es Salaam na viongozi mbalimbali wa kitaifa na wananachi wa kawaidawalipotembelea maonesho ya miaka 50 ya uhuru. Makamu wa Kwanza waRais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad, akitembeleaWizara ya Mambo ya Nje na …
CCM yachoka, yawageuka wabunge wake
*Nape apinga wazo la wabunge kujipandishia posho Na Joachim Mushi KUNA dalilizote kuwa uongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), hauridhiki na baadhi ya vitendo na uamuzi unaofanywa na wabunge wa chama hicho ndani ya Bunge la Jamhuri ya Tanzania. Tayari jana uongozi wa Chama Cha Mapinduzi, kupitia kwa Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye umetoa …
Wakulima wanogewa na mradi wa kilimo cha alizeti
Na Dunstan Mhilu, Ruvuma MUUNGANISHO wa Ujasiriamali Vijijini (MUVI) kutoka kikundi cha ’Moto Moto’ kilichopo katika Kijiji cha Amani Makoro, Kata ya Mkako wilayani Mbinga, umepanga kuongeza hekari nyingi kadiri ya uwezo katika msimu huu wa kilimo hususani katika zao la alizeti na mhogo. Taarifa hiyo ilitolewa hivi karibuni na Ofisa Mtendaji wa Kijiji hicho ambaye pia ni mwana kikundi, …