Na Mwandishi Wetu WASHIRIKI 37 wameteuliwa kushiriki katika semina ya grassroots inayolenga wachezaji mpira wa miguu (wasichana na wavulana) wenye umri kuanzia miaka 6-12 kutoka Mkoa wa Dar es Salaam itakayofanyika kuanzia Desemba 14-17 mwaka huu jijini Dar es Salaam. Akitoa taarifa hiyo, leo jijini Dar es Salaam kwa vyombo vya habari, Ofisa Habari wa TFF, Boniface Wambura amesema, mbali …
Mechi za Tusker Chalenji zaingiza mil 267
Na Mwandishi wetu MECHI 26 za michuano ya 35 ya CECAFA Tusker Challenge Cup iliyofanyika Dar es Salaam kuanzia Novemba 25 hadi Desemba 10 mwaka huu, zimeingiza jumla ya sh. 267,066,000. Michuano hiyo iliyoandaliwa na Baraza la Vyama vya Mpira wa Miguu Afrika Mashariki na Kati (CECAFA) ilishirikisha timu za mataifa 12. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na TFF, …
Hatimaye Man City yafungwa Chelsea
PENATI ya Frank Lampard ndiyo iliyowapa ushindi Chelsea na hii ilikuwa mechi ya kwanza ambayo viongozi wa ligi, Manchester City wamepoteza msimu huu. Lampard – ambaye kwa mara nyingine hakujumuishwa kwenye kikosi cha kwanza na kocha Andre Villas-Boas – aliingizwa kama mchezaji wa akiba na akafunga dakika saba kabla ya mechi kumalizika baada ya Joleon Lescott kuunawa mpira katika eneo …
Spika Makinda akacha mjadala wa posho
*Alialikwa na Channel Ten, Awaambia kama ni kuhusu posho ‘siji’, Wengi waponda, CAG kufanya uchunguzi SAKATA la posho za wabunge limezidi kuingia katika sura mpya, baada ya Spika wa Bunge, Anne Makinda, kukwepa mdahalo uliohusu mada hiyo, huku Katibu wake, Dk Thomas Kashilillah, akitua mzigo kwa kutotaka ahusishwe tena kwenye mjadala huo.Wakati viongozi hao wa juu wa Bunge wakikwepa kuzungumzia …
Rais Kabila akanusha kuiba kura DRC
RAIS wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, Joseph Kabila amekanusha vikali madai ya kwamba alishinda uchaguzi wa nchi hiyo kupitia wizi wa kura. Waangalizi kutoka wakfu wa Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter walisema matokeo ya uchaguzi huo hayakuwa ya kuaminika, na pia Askofu wa mkuu wa kanisa Katoliki mjini Kinshasa akasema matokeo hayo hayakudhihirisha ukweli halisi. Taarifa zaidi …
Pinda ataka wakuu wa mikoa, wilaya kujipanga uboreshaji kilimo
Na Joachim Mushi WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Mizengo Pinda amewataka wakuu wa mikoa na wilaya kuhakikisha wanasimamina vizuri suala la kilimo ili kuleta mapinduzi kama ilivyo kwa sera za Serikali. Pinda ametoa kauli hiyo leo jijini Dar es Salaam alipokuwa akifunga rasmi Maonesho ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya Uhuru wa Tanzania Bara yaliyokuwa yakifanyika katika Viwanja vya Mwalimu Julius …