Na Gradys Sigera na Magreth Kinabo – MAELEZO JUMLA ya wanafunzi 567,567 wamefaulu Mtihani wa Kumaliza Elimu ya Msingi Mwaka 2011, na sasa watafanyiwa mtihani wa majaribio kabla ya kuanza masomo yao katika shule walizochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza, ili kubaini wadanganyifu. Akitangaza matokeo hayo, jijini Dar es Salaam mbele ya waandishi wa habari, Naibu Waziri wa Elimu na …
Serikali kusitisha uuzaji wanyamapori hai
Na Bebi Kapenya – MAELEZO SERIKALI imepiga marufuku ukamataji, uingizaji na usafirishaji wa wanyamapori hai isipokuwa kwa wadudu, ikiwa ni amri ya katazo juu ya vitendo hivyo yaani ‘The Wildlife Conservation’ (Capture of Animals) (Prohibition) Order, 2011. Tamko hilo limewekwa hadharani jana na Msemaji wa Wizara ya Maliasili na Utalii, George Matiko, ikiwa ni kutokana na tangazo la Serikali (Government …
Government will not tolerate losses through procurement-PM Pinda
PRIME Minister, Mizengo Pinda has the Government will no longer tolerate losses incurred in local councils, other public institutions and private sector through malpractices that are conducted by procurement and supplies professionals. He said public procurement expenditure in Tanzania, like in other developing countries, accounts for nearly 80 percent of total Nation’s Development Budget especially in provision of goods, works, …
VACANCY ANNOUNCEMENT FOR THE POSITION OF LEAGUE COMMITTEE DESK OFFICER
Tanzania Football Federation (TFF) invites applications from suitably qualified Tanzanian for the position of League Committee Desk Officer. TFF VISION: To transform Tanzania football to the highest standards in Africa and in the World. TFF MISSION: To develop top level football players and clubs by spotting young stars with the most potential and providing them with our best attention and …
ICC yaifikisha Malawi Umoja wa Mataifa
MAHAKAMA ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) imeifikisha nchi ya Malawi katika Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kwa kukataa kumkamata Rais wa Sudan Omar al-Bashir. Malawi ilikuwa mwenyeji wa Rais Bashir mwezi Oktoba licha ya kufahamu kuwa kuna kibali cha ICC cha kumkamata kwa tuhuma za mauaji ya kimbari katika eneo la Darfur mtuhumiwa huyo. Taarifa kutoka ICC zinasema …
Mabondia Cheka na Nyilawila kuzipiga
MIAMBA ya masumbwi nchini, Bingwa wa Mabara, Francis Cheka (SMG) na Bingwa wa Dunia, Karama Nyilawila (Captain) wanatarajia kupanda ulingoni Januari 28 mwaka huu, kupimana nguvu kati ya mabingwa hao. Kihistoria mabingwa hao yaani Cheka pamoja na Nyilawila hawajawahi kutwangana jambo ambalo limekuwa likizua minong’ono kwamba huwenda mabondia hao wanaogopana. Akizungumza jana jijini Dar es Salaam promota wa pambano hilo, …