Your Excellency Yoweri Museveni, President of the Republic of Uganda, our Host and Chairperson of the ICGLR; I consider myself highly privileged to be given the rare honour of moving a vote of thanks on behalf of the Heads of State, Heads of Delegations and all the delegates to the 4th Ordinary Summit of the International Conference on the Great …
JK ashauri kila nchi kutunga sheria kupambana na ukatili
Na Mwandishi Maalumu, Uganda RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amesema wakuu wa nchi wanachama wa Umoja wa Nchi za Maziwa Makuu wa International Conference on Great Lakes Region (ICGLR) wamekubaliana kuwa kila nchi wanachama itunge sheria za kupambana na ukatili wa kijinsia kama njia ya kuongeza amani na utulivu katika eneo hilo la Maziwa Makuu. Rais …
JK ateua mabalozi, Marmo, Dk Batilda, Dk Kamala waula
Na Joachim Mushi RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete, amefanya uteuzi wa nafasi za mabalozi wa Tanzania kwa nchi tano, huku mawaziri waliobwagwa katika balaza lake lililopita akiwakumbuka. Katika uteuzi huo Rais Kikwete amewateua, Phillip Marmo, kuwa balozi wa Tanzania nchini China, ambaye kabla ya hapo Marmo aliwahi kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, …
Coca Cola dream team kwenda Afrika Kusini
Na Mwandishi Wetu TIMU ya kombaini ya Coca Cola iliyotokana na michuano ya Copa Coca Cola inaondoka kesho alfajiri (Desemba 17 mwaka huu) kwenda Johannesburg, Afrika Kusini kwenye kambi maalumu ya mafunzo ya mpira wa miguu. Wachezaji 14 wanaoondoka ni Peter Manyika, Abdul Mgaya, Pascal Matagi, Mohamed Hussein, Mbwana Ilyasa, Farid Musa, Suleiman Bofu, Salvatory Raphael, Paul James, Miraji Adam, …
Wachezaji 25 waitwa Twiga Stars kuikabili Namibia
Na Mwandishi Wetu KOCHA Mkuu wa timu ya Taifa ya wanawake (Twiga Stars), Charles Boniface Mkwasa leo (Desemba 16 mwaka huu) ametaja kikosi cha wachezaji 25 kwa ajili ya mechi ya mchujo ya Kombe la mataifa ya Afrika kwa Wanawake (AWC) dhidi ya Namibia. Mechi ya kwanza itachezwa jijini Windhoek, Namibia kati ya Januari 14 na 15 mwaka huu, na …
Guinness Football Challenge
Kalusha Bwalya IT is a very revealing fact that of the 34 African teams who have competed in the World Cup Finals over the years, foreign coaches have led 24 of them. At the 2010 tournament in South Africa, Algeria’s Rabah Saadane stood out as the only African coach among the continent’s six finalists. It’s an alarming statistic, however there …