MWENYEKITI wa Jukwaa la Wahariri Tanzania, ambaye pia ni Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Tanzania Daima, Absalum Kibanda (45) amefikishwa mahakamani leo jijini Dar es Salaam. Kibanda ambaye ni miongoni mwa wahariri nguli na maarufu nchini Tanzania amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi ya Kisutu, mbele ya hakimu wa mahakama hiyo, Stewart Sanga. Kibanda sasa anajumuishwa katika kesi inayomkabili Mwenyekiti …
Marefa wawili Tanzania waula CAF, waitwa kuwa wakufunzi
Na Mwandishi Wetu WATANZANIA Leslie Liunda na Joan Minja wamechaguliwa kuwa wakufunzi wa waamuzi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) baada ya kufaulu katika kozi iliyofanyika Mei mwaka jana jijini Cairo, Misri. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo Dar es Salaam na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), na Ofisa Habari wake, Boniface Wambura imesema kuwa. Taarifa …
Mvua zaleta maafa makubwa Dar, zaua, zajeruhi na kusomba mali
Na Joachim Mushi MVUA kumbwa iliyonyesha usiku wa kuamkia leo maeneo kadhaa ya Jiji la Dar es Salaam imeleta maafa makubwa, ikiwemo kuua, kubomoa baadhi ya majengo na kuharibu mali mbalimbali za wananchi. Mvua hizo zilizonyesha zaidi pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam zimesababisha baadhi ya barabara za jiji kushindwa kupitika kwa muda baada ya madaraja kuziba na maji …
Lema, Zitto, Mnyika, Mdee hawakamatiki
Wabunge vijana kupitia Chama Cha Demokrasia Maendeleo (Chadema), wameibuka washindi wa tuzo ya wabunge bora vijana kwa mwaka 2011. Tuzo hiyo inayojulikana kama “Mjengwablog Young Leaders Award,” ambayo kuanzia mwakani itakuwa inatolewa kila mwaka. Shindano la kuwapata wabunge hao liliendeshwa na Blog ya Maggid Mjengwa kwa majuma kadhaa ambapo wadau mbalimbali walipata fursa ya kuwapigia kura wabunge mbalimbali vijana …
Kafulila apewa siku 14 za kukata rufaa
Licha ya Halmashauri Kuu ya Taifa ya NCCR-Mageuzi kumvua uanachama Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, na wenzake watatu, chama hicho kimewapa siku 14 za kukata rufaa kwenye Mkutano Mkuu kupinga uamuzi huo dhidi yao, huku kikimpa Mbunge wa Muhambwe, Felix Mkosamali, karipio kali kutokana na kujihusisha na mgogoro katika chama. Wakati NCCR-Mageuzi ikitangaza hayo, Kafulila jana aliibuka na kuzungumzia …