Na Mwandishi Wetu WAZIRI mwenye dhamana ya usimamizi wa sekta za nishati na madini nchini, William Ngeleja ameitaka Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) kuhakikisha inatoa adhabu kali kwa wafanyabiashara wakaidi wa nishati za mafuta, ikiwezekana kuwafunga ili kudhibiti hujuma ambao wamekuwa wakiifanyia Serikali na wananchi. Ngeleja ambaye wizara yake pia ni wasimamizi wa nishati hiyo ameitaka EWURA …
Rais Kikwete aguswa na maafa ya Dar es Salaam
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiq kuomboleza vifo vya watu 13 waliopoteza maisha katika mafuriko hayo makubwa yaliyotokana na mvua zilizonyesha kuanzia Desemba 20, 2011. Aidha, Rais Kikwete amempa pole Mkuu huyo wa Mkoa kutokana na uharibifu mkubwa wa nyumba, makazi na mali nyingine …
Dk Shein aipa changamoto Wizara ya Miundombinu
Na Rajab Mkasaba, Pemba RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein ameutaka uongozi wa Wizara ya Miundombinu na Mawasiliano kuboresha kiwango cha utaalamu wa kujenga barabara kwa kutumia lami baridi, ikiwa ni pamoja na kutumia teknolojia hiyo mpya kusaidia ujenzi wa barabara kubwa za Unguja na Pemba. Dk. Shein aliyasema hayo leo katika ziara …
JE, WATAKA KUWASAIDIA WATANZANIA WENZETU WALIYOATHIRIWA NA MAFURIKO YA JIJI LA DAR ES SALAAM?
Ungana na Tanzania Professionals Network (TPN) kufanya hivyo kwa kuwasaidia walioathirika na mvua DSM kipindi hiki cha Siku Kuu za mwisho wa mwaka. Naomba nichukue fursa hii kuwaomba wote wenye nia ya kuchangia waliothirika na maafa haya basi wawasiliane na TPN Staff Miss. Anna Machanga machangaanna@yahoo.com, 0652 945422; na Bw. ASED KIPEPE: sdkipepe@gmail.com, 0716 898685. Michango inayopokelewa ni fedha taslimu …
Kafulila, wenzake hawajapewa barua kuvuliwa uanachama NCCR
UONGOZI wa NCCR-Mageuzi umeshikwa ghafla na kigugumizi baada ya hadi sasa kushindwa kumpa barua Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, na wenzake watatu, kuthibitisha uamuzi wa Halmashauri Kuu (NEC) wa kuvuliwa kwao uanachama wa chama hicho. Wengine ambao hadi kufikia jana uongozi wa NCCR-Mageuzi ulikuwa bado haujawapa barua za kuthibitisha uamuzi wa NEC, ni wanachama 19 wa chama hicho, akiwamo …