Salamu za rambirambi kutoka Ujerumani kwa waathirika wa mafuriko

BENDI ya Dansi Ngoma Africa aka FFU ya Ujerumani, inaungana na Watanzania wote na kutoa pole na salam za rambirambi kwa waathirika wa maafa ya mafuriko yaliookea Mkoa wa Dar es Salaam. Maafa hayo yalisababishwa na mvua kubwa, yamepoteza maisha ya watu na kusababisha uharibifu mkubwa wa makazi ya jamii na mali zao, pamoja na miundombinu ya barabara mkoani Dar …

Zanzibar kutumia walimu wenye shahada pekee sekondari

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar DHAMIRA ya kuwa na walimu waliofuzu katika kiwango cha Shahada imeanza kufikiwa na muda mfupi ujao walimu wote wa shule za Sekondari Zanzibar watakuwa na Shahada ya Chuo Kikuu. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ambaye pia ni Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA), aliyasema …

Mkoa wa Pwani kuwakwamua vijana

Na Lydia Churi, MAELEZO-PWANI VVIJANA nchini wametakiwa kufanya kazi kwa bidii, ikiwemo kujituma na kuacha uvivu ili waweze kujiletea maendeleo. Kauli hiyo imetolewa na Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Dk. Emmanuel Nchimbi Desemba 24 alipokuwa akifunga mafunzo ya siku moja ya Vijana wa Mkoa wa Pwani na wilaya ya Korogwe. “Mabadiliko ya kijana yatatokana na uamuzi wa kijana …