Dk Shein amzika Kanali Magetta Zanzibar

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein ameungana na viongozi, wananchi na wanafamilia katika mazishi ya Marehemu Kanali Nassor Waziri Magetta eneo la Mkanyageni, Wilaya ya Magharibi, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja. Katika mazishi hayo viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa, serikali wa viongozi wa kidini walihudhuria akiwemo Makamu …

Serikali sasa kuwabomolea wakazi wa mabondeni

Na Mwandishi Wetu SERIKALI imewataka wananchi wa Dar es Salaam wanaokaa mabondeni maeneo mbalimbali kuondoka wenyewe, kabla ya kuchukua hatua za kuzibomoa nyumba hizo. Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Sadiq Meck Sadiq amewaambia waandishi wa habari jana alipokuwa akitoa ufafanuzi juu ya hatari ya maeneo hayo kufuatia taarifa za kuendelea kwa mvua kubwa za vuli. Juzi Mamlaka ya …

Kozi ya makamishna kuanza kesho

KOZI kwa ajili ya makamishna wa mechi za Ligi Kuu na mashindano mengine yanayosimamiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) inafanyika kesho (Desemba 28 mwaka huu) na keshokutwa (Desemba 29 mwaka huu). Kwa mujibu wa taarifa iliyo tolewa leo na TFF, washiriki wa kozi hiyo itakayofanyika ofisi za TFF ni wale wanaoomba kwa mara ya kwanza (beginners), na …

Usajili mashindano ya Klabu CAF

*FIFA yamteua Minja kusimamia mechi SHUGHULI ya usajili kwa ajili ya timu za Tanzania zitakazoshiriki michuano ya ngazi ya klabu Afrika inayosimamiwa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Afrika (CAF) inaendelea. Yanga itacheza Ligi ya Mabingwa (CL) wakati Simba itashindana katika michuano ya Kombe la Shirikisho (CC). Kwa upande wa Yanga hadi sasa imeshawasilisha Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania …

Mfululizo wa milipuko ya mabomu waitikisa Nigeria

MILIPUKO ya mabomu imeendelea mfululizo katika maeneo kadhaa nchini Nigeria wakati wa maadhimisho ya sikukuu ya Krismasi, ambapo hadi sasa yameshasababisha vifo vya watu 28 na wengine kadhaa kuachwa majeruhi. Mlipuko wa kwanza ulitokea asubuhi ya leo katika Kanisa la Mtakatifu Theresa kwenye mtaa wa Madalla, mjini Abuja, wakati waumini wakishiriki sala ya Krismasi. Miripuko mingine imetokea mchana katika miji …