WATOTO wa Shirika la Utoto Mtakatifu wa Yesu Jimbo Kuu la Dar es Salaam jana wamefanya misa kuwakumbuka mashahidi wa watoto waliouwawa miaka 2000 iliyopita wakati Mtoto na Mfalme wa ulimwengu Yesu Kristu alipozaliwa. Misa hiyo maalumu iliyofanyika jijini Dar es Salaam kwenye Viwanja vya Parokia ya Msimbazi Centre imeongozwa na Mwadhama Polycarp Kadinali Pengo, ambaye ni Askofu Mkuu wa …
Puma yalisaidia Jeshi la Polisi Tanzania
Na Mwandishi Wetu JESHI la Polisi Tanzania leo jijini Dar es Salaam limepokea msaada wa kamera 20 na vitabu 100 vyenye thamani ya sh. milioni 30, ilivyopewa na kampuni ya Puma wasambazaji wa mafuta nchini. Akipokea vifaa hivyo leo, Kamishna wa Oparesheni wa Jeshi la Polisi, ASP-Paul Chagonja amesema vifaa hivyo vitalisaidia jeshi hilo kukabiliana na vitendo vya uhalifu ikiwa …
TRA kuanza kurudisha VAT kwa wageni
Na Joachim Mushi MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA) itaanza kurejesha kodi ya ongezeko la thamani (VAT) kwa raia wa kigeni watakapokuwa wakiondoka nchi ili kuongeza ushawishi wa raia hao kununua bidhaa nchini. TRA itaanza kufanya marejesho hayo ya kodi kwa wageni Januari Mosi 2012, hatua ambayo inatajwa kuwa itaongeza manunu ya bidhaa mbalimbali za nchini kwa raia kutoka nchi za …
Mkesha kuiombea Tanzania kufanyika Desemba 31
*Serikali yapongezwa kupinga ushoga Na Aron Msigwa –MAELEZO UMOJA wa Makanisa ya Kikiristo Tanzania (Tanzania Christian Fellowship of Churches) umeandaa mkesha wa kuliombea Taifa la Tanzania na pia sala maalumu ya kumshukuru Mungu na kulivusha taifa katika miaka 50 ya Uhuru. Mgeni rasmi katika maombi hayo anatarajia kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete. Akizungumza na waandishi …
Shilling gaining momentum thanks to BoT
THE shilling closed the week with further improvement against the US dollar and other major currencies as Bank of Tanzania (BoT) continued with a tight liquidity policy. According to daily commentary by Standard Chartered Bank, the market closed on Friday at 1,585/- and 1,595/- on the back of the declining dollar demand. “As we are heading to the last week …
DSE trading to be overshadowed by money
HIGH yields offered in the money market instruments in comparison to stocks are expected to impact heavily on the level of activity at Dar es Salaam Stock Exchange (DSE) in the coming weeks. For example, investors in the Treasury bills auctions last week fetched a high rate of return of about 19.5 per cent for 364 days offer. “Low level …