*Yakabidhi vifaa vya shule pamoja na vyakula vyenye thamani ya mil.3
Udhibiti ufisadi umepandisha mapato ya vivuko-Dk Magufuli
Magreth Kinabo- MAELEZO, Dar es Salaam SERIKALI imesema mapato yanayopatikana kwenye Kivuko cha Magogoni yameongezeka toka sh. milioni sita hadi kufikia sh. milioni tisa kwa siku baada ya kufanyika hatua mbalimbali ikiwemo kuingia mkataba na kampuni ya ulinzi ya SUMA JKT. Aidha serikali imetangaza ongezeko la viwango vya nauli katika vivuko vyote nchini kuanzia Januari Mosi, mwaka huu, …
Anichebe hatimaye apata goli
MSHAMBULIAJI kutoka Nigeria Victor Anichebe siku ya Jumapili alifanikiwa kufunga goli, baada ya ukame wa zaidi ya miezi 22. Everton ilifanikiwa kupata bao moja la ushindi, katika dakika za mwisho mwisho dhidi ya West Brom. Mechi hiyo ilielekea kumalizika kwa kutofungana mabao, hadi pale Anichebe alipoweza kuuvizia mpira baada ya kupigwa kwa kichwa kwa njia isiyokuwa ya kuridhisha kutoka kwa …
Sunderland yaishangaza Man City
BAO la Ji Dong-won katika muda wa majeruhi siku ya Jumapili uliiwezesha Sunderland, ikicheza nyumbani kupata ushindi ambao uliwashangaza mashabiki wa Manchester City, ambao hadi sasa wanaongoza ligi kuu ya Premier. City walikuwa na matumaini kwamba kwa Manchester United kushindwa na Blackburn siku ya Jumamosi, walikuwa na nafasi nzuri ya kuongeza tofauti ya pointi kati yao na mahasimu wao jirani. …
Mji wa Sudan Kusini watekwa
MJI wa Pibor ulitekwa na kabila la Lou Nuer Jumamosi, ingawa kulikuwa na askari wa Umoja wa Mataifa hapo pamoja na wanajeshi wa serikali. Shirika la msaada wa matibabu la kimataifa, MSF, linasema kuwa lina wasiwasi mkubwa juu ya wafanyakazi wao zaidi ya 150 ambao wamekimbilia vichakani, wakati wa shambulio hilo, lilofanywa na maelfu ya watu wa kabila la Lou …