TFF yafanya mabadiliko Ligi Kuu Vodacom

*Ligi Daraja la Kwanza Bara Feb 4 SIKU za mechi kwa Ligi Kuu ya Vodacom msimu wa 2011/2012 ambayo itaanza mzunguko wake wa pili Januari 21 mwaka huu sasa itakuwa ni Jumamosi, Jumapili na Jumatano tu. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kupitia kwa Ofisa Habari wake, jana Boniface Wambura imesema uamuzi huo …

Mchungaji Anglikana awapa changamoto viongozi

Na Janeth Mushi, Arusha AMANI ya Tanzania inaweza kulindwa na kudumishwa endapo viongozi wa Serikali na vyama vya siasa watatimiza wajibu wao na kuhimiza wananchi kuwa wazalendo na kutenda. Changamoto hiyo imetolewa hivi karibuni mjini hapa na Mchungaji Andrea Kanjembe wa Kanisa la Anglikana Dayosisi ya Mt. Kilimanjaro DMK Prisha ya St. James wakati alipokwua akifungua mkutano ulioshirikisha Chama Cha …

Dk Shein aahidi neema kwa wavuvi Zanzibar

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein amewataka wavuvi kufuata taratibu na sheria za uvuvi, wakati Serikali ikijipanga kuwawekea mazingira mazuri ya uvuvi kwa lengo la kufaidi kuelekea sherehe za Mapinduzi ya Januari 12, 1964. Dk. Shein amesema hayo leo katika ufunguzi a jengo la Wizara ya Mifugo na …

Bondia Karama kupokonywa ubingwa wa dunia

Na Mwandishi Wetu BONDIA Karama Nyilawila huenda akanyang’anywa Ubingwa wa Dunia unaotambuliwa na Shirikisho la Ngumi Ulimwenguni (WBF) endapo atazipiga na bondia Francis Cheka. Taarifa ambazo zimetolewa na viongozi wa Shirikisho la ngumu nchini, zinasema Nyilawila atapokonywa ubingwa alionao endapo atang’ang’ania kuzipiga na Cheka kabla ya pambano lake la WBF linalotarajiwa kufanyika Februari 11, 2012. Bondia Nyilawila alitaka kupanda uringoni …

Tunayaenzi matunda ya mapinduzi-Dk Shein

Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar UWEKAJI wa jiwe la msingi nyumba ya madaktari wa Norway ni miongoni mwa hatua za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ya Awamu ya Saba, za kuenzi na kuendeleza matunda ya Mapinduzi kwa kuziimarisha huduma za afya nchini. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein aliyasema hayo leo katika hafla ya …

Posho, kivuko vyaiweka CCM njia panda

SUMAYE AMVUTIA PUMZI NDUGAI CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimebaki njia panda baada ya kushindwa kuchukua hatua au kutoa tamko kuhusu mivutano na vita ya maneno inayoendelea sasa baina ya makada wake kuhusu masuala mawili makubwa yanayoigusa jamii.Masuala hayo ni nyongeza ya posho kwa wabunge ambayo imewaingiza katika vita ya maneno, Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye na Naibu Spika wa Bunge, …