Tendwa aishukia CUF

ASEMA ADHABU YA KUIADHARAU MAHAKAMA NI KUFUTWA, MTATIRO ASEMA ADHABU IKO PALEPALE MSAJILI wa Vyama vya siasa nchini, John Tendwa amekionya Chama cha Wananchi (CUF), kwa kuendesha kikao kilichowajadili na kuwafukuza Hamad Rashid Mohamed na wenzake wakati kimepewa amri na Mahakama Kuu ya kutofanya hivyo huku akikitaka kirejee na kutii amri hiyo.Kauli ya Tendwa imekuja siku moja baada ya Mwanasheria …

Msanii Diamond na wenzake wafungwa miezi 6

MSANII nyota wa muziki wa Kizazi kipya nchini Naseeb Abdul a.k.a Diamond na wenzake jana mjini Iringa amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela au kulipa faini ya sh. 50.000 kwa kosa la kumshambulia na kuharibu mali za mwandishi wa habari mkoani Iringa Francis Godwin. Godwin ambaye pia ni mmiliki wa Blog ya Francis Godwin, hajaridhika na hukumu hiyo na tayari …

The 45 Places to Go in 2012, Tanzania included

IT’s been 12 years since Panama regained control of its canal, and the country’s economy is booming. Cranes stalk the skyline of the capital, Panama City, where high-rises sprout one after the next and immigrants arrive daily from around the world. Among those who have landed en masse in recent years are American expatriates and investors, who have banked on …

Rais Kikwete apokea ujumbe wa Rais Yahya Jammeh

Na Mwandishi wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete jioni ya leo, Januari 9, 2012, amekutana na kufanya mazungumzo na mjumbe maalum wa Rais wa Gambia, Yahya A. Jammeh. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam, mjumbe huyo maalum, Lamin Kaba ambaye ni Waziri wa Uvuvi, Maliasili na Masuala ya Bunge amemkabidhi Rais Kikwete ujumbe maalum …

Wahitimu 9626 kurudia mtihani Std VII

Na Joachim Mushi WIZARA ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi leo jijini Dar es Salaam imetangaza msamaha kwa wahitimu 9,626 wa darasa la saba waliofutiwa matokeo kutokana na majibu yao kuwa na mfano usio wa kawaida na kuwataka kurudia mtihani huo mwaka huu. Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Philipo Mulugo amesema Serikali imeamua kuchukua uamuzi huo baada ya kupokea malalamiko …

Maneno Osward kuzichapa tena na Rashid Matumla

Na Mwandishi Wetu MAANDALIZI ya pambano lisilo la ubingwa kati ya mabondia Rashid Matumla ‘Snake Man’ na Maneno Oswald ‘Mtambo wa Gongo’ lililopangwa kupigwa Februari 25 mwaka huu yanaendelea vizuri. Promota wa mpambano huo Issa Malanga, alisema pambano hilo limeandaliwa ili kumaliza ubishi baina ya mabondia hao, ambao pambano la mwisho walitoka sare ya point 99.99 Hata hivyo Oswald aliwalalamikia …