Na Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar itaendelea kuwaunga mkono wasanii wa fani ya uchoraji wakiwemo vijana kwani hatua hiyo inachangia kuwajengea mazingira mazuri ya kujiajiri na kuimarisha sekta ya utalii nchini. RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Ali Mohamed Shein aliyasema hayo leo Ikulu mjini Zanzibar baada ya kukabidhiwa picha iliyochorwa kwa penseli …
Rais Kikwete apokea hati za mabalozi
Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete leo, Jumanne, Januari 10, 2012, amepokea hati za utambulisho kutoka kwa mabalozi watano ambao wataziwakilisha nchi zao katika Tanzania. Katika shughuli fupi iliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam, Rais amepokea hati za utambulisho wa Balozi wa Denmark, Johnny Flentoe, Balozi wa Malawi, Mama Flossie Asekanao Gomile-Chidyaonga, Balozi wa Umoja …
Katiba ya wanachama TFF yarekebishwa
KAMATI ya Sheria, Maadili na Hadhi za Wachezaji pia ilifanyia kazi suala la marekebisho ya katiba za wanachama wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF). Katiba hizo zimegawanywa katika makundi matatu; katiba za wanachama wapya, katiba ambazo tayari zimerekebishwa na katiba ambazo hazijarekebishwa. Maelekezo ya Kamati ni kuwa itatoa mwelekeo (roadmap) utakaoonesha muda wa mwisho (deadline) wa kufanya marekebisho …
Pinda akabidhi mil. 10 alizoahidi Stars
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda tayari amekabidhi sh. milioni 10 kupitia Baraza la Michezo la Taifa (BMT) ikiwa ni ahadi yake aliyotoa kwa Taifa Stars ikiwa ni motisha kwa wachezaji wa timu hiyo kabla ya mechi yao na Chad iliyochezwa Novemba Mosi mwaka jana jijini N’Djamena. Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupitia kwa Meneja wa Taifa Stars, Leopold Tasso …
First Division League fixture
First Division League fixture