NAIBU Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Ummy Mwalimu ameitaka timu ya Taifa ya wanawake (Twiga Stars) kuhakikisha inabuka na ushindi kwenye mechi yake dhidi ya Namibia. Mechi hiyo ya kutafuta tiketi ya kucheza fainali za Afrika kwa Wanawake (AWC) itachezwa Januari 14 mwaka huu jijini Windhoek, Nambia na timu hizo zitarudiana Januari 29 mwaka huu kwenye Uwanja …
Serikali yarudisha mtihani Kidato cha Pili
Na Magreth Kinabo–Maelezo SERIKALI imesema kuanzia mwaka huu imerudisha hadhi ya Mtihani wa Taifa wa Kidato cha Pili, hivyo mwanafunzi atakayepata wastani wa chini ya asilimia 30 hata ruhusiwa kuendelea na kidato cha tatu, bali ataruhusiwa kukariri darasa mara moja tu. Kauli hiyo imetolewa leo na Naibu Waziri wa Elimu, Philipo Mulugo wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar …
SPEECH BY HIS EXCELLENCY KIKWETE, PRESIDENT OF TANZANIA, AT THE NEW YEAR SHERRY PARTY, HOSTED FOR HEADS OF DIPLOMATIC MISSIONS, 2012
Introduction I welcome you to the State House and thank you for coming. I extend to you, your families and staff, my best wishes for the New Year. Please, convey to your Heads of State and Government my best wishes for the New Year. Give them the assurance as it was the case last year and the years before that …
Jay Jay Okocha on CAN
Guinness Football Challenge: Jay Jay Okocha on CAN THE Cup of African Nations is almost upon us and I am sure everyone is looking forward to seeing who will be crowned the Champions of Africa. Congratulations to all the teams who have qualified. It is no easy task to make it through qualification and all of those who have done …
SBL wakabidhi msaada wa flana Sherehe za Mapinduzi Zanzibar
Na Joachim Mushi, Zanzibar KAMPUNI ya Bia ya Serengeti Breweries (SBL) kupita kinywaji chake kisicho na kilevi cha Malta Guinness wametoa msaada wa flana maalumu kwa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) zitakazotumika katika Maadhimisho ya Sherehe za Mapinduzi ya Zanzibar. Akikabidhi flana hizo leo mjini Zanzibar Mkurugenzi wa Mawasiliano wa SBL, Teddy Mapunda kampuni hiyo imeamua kutoa msaada huo …