Wateja Vodacom wachanga mil. 11 kusaidia waathirika wa mafuriko
*Ni kupitia “Red Alert” na Vodacom M-Pesa KAMPENI iliyoendeshwa na Kampuni ya Mawasiliano ya Vodacom Tanzania kuchangisha fedha kupitia Red Alert na M-Pesa kwa ajili ya waathirika wa mafuriko jijini Dar es Salaam imechangisha tena sh. 11,607,470. Kampeni hiyo iliyodumu kwa wiki tatu kuanzia Disemba 22 mwaka jana hadi Januari 10, 2011 imefanikisha kupatikana fedha hizo zilizochanganywa na wateja kuunga …
JK afanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete Januari 11, 2012, amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Misri, Mohamed Tamel Amr. Katika mazungumzo hayo yaliyofanyika Ikulu, Dar es Salaam, na kuhudhuriwa pia na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, viongozi hao wawili wamezungumzia masuala yanayohusu uhusiano kati ya nchi …
Wachina Tanzania kuadhimisha mwaka wa Kichina
Na Mwandishi Wetu JUMUIYA ya Wachina wanaofanya kazi nchini Tanzania imetangaza mwaka mpya wa Kichina ambao shamrashamra za maadhimisho hayo zitafanyika Jumapili ijayo katika Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam. Akitoa taarifa hiyo kwa waandishi wa habari leo, Mkurugenzi wa Masuala ya Habari na Uhusiano wa Jumuiya hiyo, Yang Xiao amesema katika mwaka huu mpya wa kichina, China …