Na Mwandishi Wetu MWIMBAJI nguli nchini aliyeihama bendi ya African Stars ‘Twanga Pepeta’ na kutua Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’, ameanza vibaya kutambulishwa katika bendi yake mpya, kutokana na ‘kufunikwa’ na wanamuziki wenzake ambao wengi wanatoka Jamhuri ya Kidemokarsia ya Congo. Onesho hilo lililoshirikisha bendi tatu mahasimu za Mashujaa Musica, Mapacha Watatu na Extra Bongo, lengo likiwa ni kuungana …
Dk Shein ateuwa Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein leo amefanya uteuzi wa Viongozi katika Taasisi mbalimbali za Serikali ya Mapinduzi Zanzibar. Kwa mujibu wa Taarifa iliotolewa na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi, Dk. Abdulhamid Yahya …
Meli yapinduka Italia, yaua 3, abiria 50 wapotea
VIKOSI vya uokoaji majini nchini Italia vimeanza kuikagua Meli ya Costa Concordia iliyopinduka upande mmoja baada ya kwenda mrama nje ya pwani ya magharibi Ijumaa usiku na kuuwa watu watatu. Abiria wanasema walisikia kishindo kikubwa kabla ya meli hiyo, Costa Concordia, kutikisika na kusimama na taa kuzimika. Mlinzi mmoja wa pwani alisema inasadikika meli hiyo iligonga kitu ambacho kiliipasua meli …
Bunge latangaza msiba wa Rejia Mtema wa CHADEMA
*CHADEMA watoa pole kwa familia, wasema ni msiba mkubwa Na Mwandishi Wetu BUNGE la Jamhuri wa Muungano wa Tanzania limetangaza rasmi kifo cha Mbunge wa Viti Maalumu kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Rejia Estelatus Mtema. Kwa mujibu wa taarifa hiyo fupi iliyotolewa leo na kusainiwa na Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda, imesema kifo cha …
Rais Kikwete awaaga Kanali Kamugisha na Kamishna Nkuku
Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameungana na mamia kwa mamia ya waombolezaji katika kuaga mwili wa Kamishna wa Jeshi la Magereza, Elias Mtige Nkuku kwenye shughuli iliyofanyika alasiri ya Januari 13, 2012, katika Viwanja vya Chuo cha Maofisa wa Magereza Ukonga, Dar es Salaam. Kamishna Nkuku ambaye alikuwa Mkuu wa Fedha na Utawala …