Airtel yaisaidia komyuta sekondari
Na Janeth Mushi, Arumeru KAMPUNI ya Simu za Mkononi Airtel imetoa msaada wa kompyuta nne zenye thamani ya zaidi ya sh. milioni 2.8 kwa shule ya Sekondari ya Mlangarini, wilayani hapa mkoani Arusha. Akimkabidhi misaada hiyo Mbunge wa Jimbo la Arumeru Magharibi, Goodluck Ole Medeye, Ofisa Uhusianao wa Airtel nchini, Jane Matinda alisema kuwa kupitia faida wanayopata, wanaitumia kusaidia sekta …
RC Tanga atembelea vitalu vya miche ya machungwa
Na Ngusekela David, Tanga MKUU wa Mkoa wa Tanga, Chiku Ngalawa amefanya ziara fupi katika vitalu vya miche ya machungwa vinavyozalishwa na wakulima wa Kikundi cha Maduma kilichopo Kijiji cha Maduma Kata ya Mtindiro wilayani Muheza. Kiongozi huyo akiwa eneo la tukio amesifu juhudi zinazofanywa na wakulima wa Maduma na kuwashauri kuwa karibu na wataalamu wa kilimo ikiwa ni pamoja …
Prof. Tibaijuka aenda UN kudai Ukanda wa Kiuchumi
Na Mwandishi Wetu WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Profesa Anna Tibaijuka amesafiri kuelekea Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa nchini Marekani kwa ajili ya kuwasilisha andiko la kudai kuongezewa eneo la ziada nje ya maili 200 za ukanda wa kiuchumi katika bahari ya Hindi. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Prof. Tibaijuka amesema eneo …