Na Mwandishi Wetu TUME ya Maadili ya Utumishi wa Umma imesema urejeshwaji wa fomu za matamko ya madeni na mali za viongozi wa utumishi wa umma kwa kipindi hiki, mwitikio wa viongozi umeongezeka ikilinganishwa na mwaka uliopita. Katibu Mkuu wa Tume hiyo, Tixon Nzunda amewaeleza waandishi wa habari jana Dar es Salaam kuwa ongezeko la sasa ni la asilimia 22.5 …
Welcome to E-UTALII CONFERENCE!
Welcome to Official website for E- Utalii Conference. Its the eTourism & eMarketing Conference to revolutionize Tanzania Tourism Industry for Tanzanian Travel & Tours agency, Tour Guide & Hotel To build and develop a sustainable Online Tourism sector(eTourism & eMarketing) from building a Tourism eCommerce website, Online Tourism marketing, create payment solution and intergrated payment solution provider(PSP) with our local …
Dk. Bilal afanya mazungumzo na ujumbe wa Abort Fund
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Abort Fund, Andy Wilson (katikati) na Dk. Ayub Magimba, wakati walipomtembelea ofisini kwake Ikulu Dar es Salaam Januari 18, 2012, kwa ajili ya mazungumzo. Picha na Muhidin Sufiani-OMR
Makocha wa ngumi wafanya mazoezi ya vitendo
Baadhi ya makochai wa Mchezo wa Ngumi nchini wakifanya mazoezi kwa vitendo wakati wa kozi ya kimataifa ya mchezo huo kwa makocha inayoendelea Kibaha Mkoa wa Pwani. (Picha na superdboxingcoach.blogspot.com)
Kiongozi wa Boko Haram aliyekuwa chini ya ulinzi atoweka
*Ni baada ya msafara wa Polisi Nigeria kushambuliwa IDARA ya Polisi nchini Nigeria, imethibitisha kuwa mshukiwa mmoja ambaye anaaminika kuwa kiongozi wa Kundi la Boko Haram, ametoweka, baada ya wapiganaji wa kundi hilo kushambulia msafara wa polisi ambao ulikuwa ukimpeleka kizuizini. Mshukiwa huyo alikuwa amekamatwa na polisi siku ya Jumamosi na alikuwa akisafirishwa korokoroni ili kuwapa maofisa wa polisi nafasi …
Mauaji yashamiri Sudan Kusini
WATU wenye silaha wamewaua takriban watu 51 wengi wakiwa wanawake na watoto katika mapigano ya hivi karibuni katika jimbo lenye mgogoro la Jonglei, gavana wa jimbo hilo Kuol Manyang amesema. Taarifa zinasema kuwa kiasi cha watu 22 wamejeruhiwa baada ya washambuliaji kuvamia na kuchoma kijiji cha Duk Padiet, aliongeza. Waliojeruhiwa wamehamishiwa Juba makao makuu ya nchi. Mfululizo wa mashambulizi ya …