MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini, Hamis Ramadhan ‘H-Baba’ amekamilisha kibao chake kipya kinachotambulika kwa jina la Sina Raha, akimshirikisha gwiji wa muziki wa dansi nchini, Ramadhan Masanja, ‘Banza Stone’ Mwalimu wa Walimu. Akizungumza na Mtandao wa Sufianimafoto, H-Baba, alisema kuwa kibao hicho ni miongoni mwa nyimbo zake 10 zitakazokamilisha albam yake mpya itakayokwenda kwa jina la ‘Shika hapa …
JK amtumia makinda rambirambi ya kifo cha Sumari
Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Mrisho Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Anne Semamba Makinda (Mb) kutokana na kifo cha Jeremia Solomon Sumari, aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki kwa tiketi ya CCM na aliyepata kuwa Naibu Waziri, kilichotokea usiku wa kuamkia Januari 19, …
TGNP wapinga ongezeko la bei ya umeme
*Ongezeko la bei ya umeme kuongeza makali ya ugumu wa maisha kwa Watanzania masikini! MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP), tumekuwa tukifuatilia kwa karibu masuala yanayogusa jamii hapa nchini ikiwa ni sehemu ya kudai mabadiliko ya mfumo wa uchumi, sera, sheria na bajeti katika kampeni yetu ya kudai haki ya uchumi, na hasa ajira na maisha endelevu kwa wote. Lengo ni …
Mchungaji aomba msaada ujenzi ‘Kanisa’
MIMI NI MDAU WA HABARI WA MUDA MREFU PIA NI MTUMISHI WA MUNGU KATIKA HUDUMA YA KICHUNGAJI. NAOMBA UWAHABARISHE WADAU KUHUSU KUCHANGIA KWENYE UJENZI WA HEMA LA KUKUTANIA KWA AJILI YA MAOMBI YA TAIFA LETU NA MAOMBEZI KWA AJILI YA WENYE SHIDA MBALIMBALI. UJENZI WA HEMA HILO UNAFANYIKA BOKO-MIVINJENI NJIA YA KUELEKEA MBWENI HOSPITALI. TUNAOMBA MUNGU AKUWEZESHE ILI UWEZE KUCHANGIA …