NCCR-Mageuzi wampongeza JK mchakato wa Katiba Mpya

Na Mwandishi Wetu CHAMA Cha National Convention for Construction and Reform-Mageuzi (NCCR-Mageuzi) kimempongeza Rais Jakaya Kikwete kwa kusimamia suala la Katiba vizuri na kwa umakini mkubwa. Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia ametoa pongezi hizo leo jioni alipofika Ikulu, akiongoza ujumbe wa viongozi wenzake sita(6), kuja kujadili suala la Katiba Mpya ya Tanzania. “Tunakupongeza kwa kusimammia suala la Katiba vizuri, ni …

Muscat to Dar expedition flags off

By Maryam Khalfan In a historic and cheerful moment, the team of Omani Adventurers who are attempting to challenge the country roads by travelling from Muscat to Dar es Saalam have set off on the first leg of their journey. The team was honourably seen off by their relatives and friends on Thursday as they set off in their multi-coloured …

Serikali yasitisha ugeuzaji vyuo vya ufundi kuwa vyuo vikuu

SERIKALI imesitisha utaratibu wa kuvibadili Vyuo vya Ufundi kuwa Vyuo Vikuu ili kukabiliana na changamoto ya uhaba wa mafundi sanifu na uhaba wa vyuo vinavyotoa mafunzo ya ufundi sanifu katika nyanja ya uhandisi na teknolojia. Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu Mizengo Pinda, Januari 21, 2012 wakati akiwahutubia washiriki wa mahafali ya tatu ya Chuo cha Ufundi Arusha yaliyofanyika kwenye viwanja …

Wateja CRDB sasa kuweka na kutoa fedha kwa M-Mpesa

WATEJA wa Vodacom M-Mpesa wenye akaunti katika benki ya CRDB sasa wanauwezo wa kuweka na kutoa fedha kutoka katika akaunti zao kupitia simu ya mkononi ya Vodacom iliyosajiliwa na huduma ya M-Mpesa. Kuzinduliwa kwa huduma hiyo sasa kunawapa urahisi zaidi wateja wa Vodacom M-Mpesa kuweka na kuchukua fedha zao kutoka akaunti ya benki kwa urahisi na unafuu zaidi mahali popote …