Wabunge kucheza pambano kuchangia Twiga Stars
*TFF yaomba kutumia uwanja wa taifa bure WABUNGE wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia timu ya Bunge wameomba kucheza mechi maalumu dhidi ya Twiga Stars kabla ya kuwasilisha mchango wao kwa timu hiyo. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa leo na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), kupitia kwa Ofisa Habari wake Boniface Wambura amesema benchi la …
Chadema, Rais Kikwete waliteta saa nane
*NI KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA MPYA, KAMATI KUU YAJIFUNGIA KUJADILI, NCCR- MAGAUZU WATOA TAMKO MKUTANO kati ya Rais Jakaya Kikwete na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) uliofanyika juzi Ikulu, Dar es Salaam ulichukua saa nane kutokana na uzito wa hoja zilizokuwa zimetolewa na pande zote mbili. Novemba mwaka jana, Chadema ilikutana na Rais Kikwete kwa mara ya kwanza Ikulu …
Man City yaendelea kupaa, Man U yaifanyia vibaya Arsenal
MSHAMBULIAJI, Mario Balotelli amejitokeza kuwa kiini cha mgogoro na sababu ya kuipatia ushindi Manchester City ikipiga hatua dhidi ya mshindani wake wa karibu Manchester United. Balotelli aliingia wakati Manchester City ikisukumwa na Tottenham 2-2 baada ya kurudisha mabao mawili katika kipindi kifupi ikionekana kuondoka na angalau pointi moja. Wakati ikionekana kua Manchester City imepungukiwa na maarifa Bario Balotelli aliangushwa ndani …
Hatma ya washukiwa vurugu za uchaguzi Kenya leo
*ICC kutamka wana makosa au la! MAHAKAMA ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) iliyoko mjini The Hague, Uholanzi, leo itasema kama Naibu Waziri Mkuu wa Kenya, Uhuru Kenyatta pamoja na wenzake watano mashuhuri wana kesi ya kujibu kuhusiana na tuhuma za kuhusika katika ghasia zilizoikumba nchi hiyo baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2007. Inasadikiwa kuwa katika vurugu hizo …