Ivory Coast yaiadhibu Angola AFCON

TIMU ya mpira wa Miguu ya Ivory Coast imeanza kampeni ya kuwania Kombe la Mataifa ya Afrika kwa ushindi dhidi ya Sudan walionekana kusumbua. Nahodha Didier Drogba alifunga bao kwa kichwa kutokana na krosi iliyochongwa na Salomon Kalou, lakini haukuwa ushindi wa kujivunia sana kwa timu inayopewa nafasi kubwa ya kunyakua kombe hilo. Sudan itakuwa imefurahi kutokana na kandanda iliyoonesha …

Dk. Bilal azindua miradi mitano anuai Lindi

Na Mwandishi Wetu, Lindi MAKAMU wa Rais wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal anayeendelea na ziara yake mikoa ya Kusini ameweka mawe ya msingi ikiwa ni pamoja na kuzindua miradi mitano katika maeneo tofauti ya mikoa hiyo. Jana Dk. Bilal amezindua miradi mitano ambayo ni pamoja na kuweka jiwe la Msingi katika jengo la Kituo cha Afya cha Kitomanga lililopo …

Breaking Newz: Watuhumiwa wanne wakutwa na hatia

MAHAKAMA ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) ya The Hague, Uholanzi, imewatia hatiani watuhumiwa wanne kati ya sita wa Kenya wanaotuhumiwa na ghasia zilizoikumba nchi hiyo baada ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2007. Taarifa ambazo mtandao huu umezipata mchana huu watuhumiwa hao sasa watakuwa na kesi ya kujibu kuhusiana tuhuma zinazowakabili. Hata hivyo bado majaji hawajaweka hadharani majina yao. …