Bunge lataka EWURA CCC iongezewe bajeti

Na Magreth Kinabo–MAELEZO KAMATI ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya umma (PAC), imeagiza sheria inayoruhusu Mamlaka ya Udhibiti wa Maji na Nishati (EWURA) kulipa mishahara ya watumishi wa Baraza Ushauri na Watumaji la Nishati la EWURA (EWURA CCC) ibadilishwe ili baraza hilo liweze kufanya kazi ipasavyo. Hayo yalisemwa leo na Makamu Mwenyekiti wa PAC, Deo Filikunjombe wakati akizungumza na …

SPEECH BY WILLIAM NGELEJA, MINISTER FOR ENERGY AND MINERALS DURING THE SIGNING CEREMONY OF PETROBRAS, HERITAGE AND MOTHERLAND PRODUCTION SHARING AGREEMENTS ON 24TH JANUARY, 2012

Today the Government of the United Republic of Tanzania through the Ministry of Energy & Minerals and TPDC is signing three Production Sharing Agreements (PSAs) with three Oil Exploration Companies, namely Petrobras Tanzania Ltd (Petrobras), Heritage Rukwa (TZ) Limited (Heritage) and Motherland Industries Ltd (Motherland). This is a testimony to the fact that TPDC and the Ministry continue to successfully …

Breaking Newzz: ‘Mchawi’ adondoka angani!

Na Mwandishi Wetu, Mkuranga TAARIFA ambazo zimetufikia ni kwamba mama mmoja (55) akiwa mtupu, yaani kama alivyozaliwa amedondoka kutoka angani alipokuwa akisafiri na ungo pamoja na mwanaye anayekadiriwa kuwa na miaka kati ya 9. Watu hao wanaoshukiwa kuwa washirikina wamedondoka usiku wa kuamkia leo eneo la Vikindu, Wilaya ya Mkuranga nje kidogo ya Jiji la Dar es Salaam. Shuhuda wa …

Madaktari Muhimbili kugoma kesho

Na Mwandishi Wetu UAMUZI wa kugoma umefikiwa leo mjini Dar es Salaam katika Mkutano uliofanyika Don Bosco Upanga ikiwa ni mwendelezo wa Mikutano isiyokoma iliyoanza Jumatano ya Wiki iliyopita wakishinikiza madai kadhaa dhidi ya Serikali. Kwa mujibu wa taarifa ambazo mtandao huu umezipata, madaktari hao wamepanga kuendesha mgomo kuanzia Januari 24, 2012 kwa lengo la kushinikiza madai yao. Januari 18, …

Kibaki awataka Wakenya kuwa watulivu

RAIS wa Kenya, Mwai Kibaki amewataka raia wote wa nchi hiyo kuwa watulivu hasa baada ya uamuzi wa Mahakama ya Jinai Kimataifa (ICC) kuwatia hatiani wakenya wanne kati ya sita waliyokuwa wakikabiliwa na uhalifu wa kibinadamu. “Nchi hii yetu tukufu imekuwa na changamoto kubwa,” Mwai Kibaki alisema katika taarifa yake. Kenyatta mtoto wa rais wa kwanza wa Kenya na mtu …