Purpose WE are living in the most complex, interdependent and fast-paced era in recent memory. It is also the new context in which leadership will be exercised for the foreseeable future. Thus, the purpose of the World Economic Forum Annual Meeting 2012 is to ensure that leaders exercise their responsibilities – jointly, boldly and strategically – to improve the state …
Madaktari Arusha wagoma kugoma
Na Janeth Mushi, Arusha MGOMO wa madaktari ulioitishwa na Chama cha Madaktari Tanzania (MAT), nchi nzima umeshindwa kuitikiwa mkoani hapa, baada ya madaktari katika Hospitali ya Mkoa wa Arusha Mt. Meru kuonekana wakiendelea na kazi kama kawa. Mwandishi wa habari hizi ametembelea hospitalini hapo na kuwakuta madaktari wakiendelea na kazi tofauti na ilivyotangazwa tangu juzi na Chama cha Madaktari, kuanza …
Mgomo madaktari; Hali tete Muhimbili
Huduma MOI zasitishwa, wagonjwa warudishwa nyumbani, uongozi wadai hali ni shwari HUDUMA katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jana zilizorota kutwa nzima kutokana na mgomo wa madaktari nchi nzima uliotangazwa juzi jioni na kuanza jana huku uongozi wa hospitali hiyo ukisisitiza kuwa huduma zilikuwa zikiendelea kama kawaida. Mbali na hospitali hiyo, mgomo huo pia uliripotiwa kuathiri utoaji wa huduma katika …
Ocampo kuendelea kuwabana Kosgey na Ali
*Asema anatafuta ushaidi mwingine KIONGOZI Mkuu wa Mashtaka wa Mahakama ya Kimataifa ya Jinai (ICC), ya mjini The Hague, Louis Moreno Ocampo amesema atawasilisha ushahidi zaidi kutaka mashtaka yathibitishwe dhidi ya Wakenya wawili mashuhuri, ambao majaji katika mahakama hiyo walikataa kuthibitisha mashtaka dhidi yao kuhusiana na ghasia za baada ya uchagzui wa mwaka 2007 nchini Kenya. Jumatatu hii Mahakama ya …