JK amlilia Marehemu Steven Galinoma

Na Mwandishi Maalumu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Iringa, Deo Kasenyenda Sanga kufuatia kifo cha Steven Johns Galinoma aliyewahi kuwa Mbunge wa Jimbo la Kalenga mkoani Iringa kwa tiketi ya CCM. Marehemu Steven Galinoma amefariki Januari 26, 2012 saa 4.00 asubuhi akiwa njiani kupelekwa …

Rais Kikwete afanya mazungumzo na wadau wa maendeleo

Na Mwandishi Maalumu, Davos RAIS Jakaya Kikwete leo amekutana na kufanya mazungumzo na viongozi kadhaa wa nchi na taasisi mbalimbali wakati wa siku ya pili ya Kongamano la Dunia – World Economic Forum katika mji wa Davos nchini Uswisi. Rais Kikwete alianza siku kwa kukutana na Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA), Mama Sadako Ogata, ambapo …

Wizara ya Afya yawaangukia madaktari waliogoma

*Yaomba wasitishe mgomo Na Aron Msigwa –MAELEZO SERIKALI imewataka madaktari wote nchini Tanzania wanaofanya mgomo kurejea katika vituo vyao vya kazi mara moja na kuendelea na kazi ili kuokoa maisha ya wagonjwa walioko hatarini kutokana na mgomo huo. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Waziri wa Afya na Ustawi wa Jamii, Dk. Hadji Mponda amesema Serikali …

Ujenzi wa Barabara ya Korogwe-Same kuanza

*Dk. Magufuli, Kilango washuhudia mkataba wa ujenzi Na Mwandishi Wetu UJENZI wa sehemu ya barabara kati ya Korogwe kupitia Mkumbara hadi Same yenye urefu wa kilometa 172 sasa utaanza mara moja baada ya kukamilika kwa mchakato wa kuwatafuta wakandarasi, na tayari wametia saini mikataba kwa ajili utekelezaji. Waziri wa Ujenzi, John Pombe Magufuli pamoja na Mbunge wa Same Mashariki, Anne …