Na Janeth Mushi, Arusha MWANASHERIA wa Manispaa ya Arusha, Lilian Kassanga amekwamisha usikilizwaji wa kesi ya kupinga kufukuzwa uanchama kwa madiwani watano wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) baada ya kushindwa kufika mahakamani. Kassanga ambaye anamwakilisha Mkurugenzi wa Manispaa ya Arusha Estomih Chan’ga, amekwamisha usikilizwaji wa pingamizi hilo lililotolewa na wakili wa CHADEMA, Method Kimomogolo baada ya kutokuhudhuria mahakamani …
Guinness Football Challenge reveals mobile phone game winners who have won exclusive opportunity to play with African Football Stars
*Local lads to be partnered with four football heroes and star Tanzania’s best loved football show WITH over 370,000 games played across East Africa on the much loved Guinness Football Challenge mobile phone game, fans have been enthralled with the popular game that’s captivated our nation. Today, Director of Marketing of Serengeti Breweries, flagged by Guinness Brand Manager, Maurice Njowoka, …
Azra Vuyo kichanga anayetumikia ‘kifungo’ cha wazazi wake
*Alizaliwa gerezani na anakulia gerezani Na Joseph Mwaisango wa MBEYA YETU BLOG WAKATI Tanzania ikiwa imeridhia mkataba wa kimataifa wa kutekeleza na kulinda haki za watoto na kusimamia kwa karibu ulinzi wa haki za binadamu, sasa Serikali ina kila sababu ya kuangalia kwa kina haki za watoto walioko gerezani kwa makosa ya wazazi wao. Miongoni mwa haki ambazo serikali inapaswa …
Real Life Style Advice For Your Wedding Day
By Matthew Robbins (Event Designer, Creative director) AS we jump into the new year many of you are newly engaged and just starting to dream up ideas and inspiration for your wedding day in 2012. To help launch the search for your personal style and vision I thought it would be helpful to share some tips and advice from one …
Waziri Pinda asema Serikali haijalega kukusanya mapato
Na Magreth Kinabo – MAELEZO SERIKALI imesema imefanikiwa kukusanya mapato yanayotokana na kodi mbalimbali kwa zaidi ya asilimia 100 na kukanusha kuwa imekuwa ikilega lega katika ukusanyaji mapato. Kauli hiyo ilitolewa leo na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda wakati akijibu swali kwa waandishi wa habari mara baada ya kufungua mkutano wa siku mbili wa Mazungumzo wa mwaka kuhusu Sera ya Taifa …
Kenyatta aachia ngazi
WAZIRI wa Fedha wa Kenya, Uhuru Kenyatta ameachia nafasi yake kufuatia uamuzi kuwa atashtakiwa kwa uhalifu dhidi ya binadamu. Hatua hiyo inakuja baada ya Mahakama ya Kimataifa ya Makosa ya Jinai (ICC) kusema kiongozi huyo anakabiliwa na mashtaka kuhusiana na ghasia kubwa za Kenya zilizozuka baada ya uchaguzi nchini humo mwaka 2007. Hata hivyo anabaki kuwa Naibu Waziri Mkuu, kwa …