Rais Kikwete aweka bayana changamoto za Afrika WEF
Na Mwandishi Maalumu, Davos BARA la Afrika linakabiliwa na changamoto nyingi katika kuleta mageuzi ya kilimo chake, hivyo changamoto hizo zinaweza kutatuliwa kwa pamoja kati ya Serikali na Sekta Binafsi. Rais Kikwete ameeleza hayo katika mkutano wa wadau wa Uchumi wanaokutana mjini Davos-Switzerland, kuzungumzia mageuzi na changamoto za uchumi na fedha zinazoikabili dunia kwa sasa. Katika Mada inayohusu mtazamo na …
Global Health and Diplomacy launched in Davos
Special Reporter, Davos-Switzerland GLOBAL Health and Diplomacy (GHD), a publication that provides a forum for communication between heads of state, health ministers, first ladies, civil society leaders, the private sector and global health experts, was launched today at the World Economic Forum in Davos, Switzerland. This publication fills the existing gap in the dialogue between global health, diplomacy, development and …
Rais Kikwete akutana na bosi wa Vodafone
Na Mwandishi Maalumu, Davos-Uswisi RAIS Jakaya Mrisho Kikwete amekutana na kufanya mazungumzo mafupi na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Vodafone, Vittorio Colao mjini Davos, Uswisi. Vodafone ndiyo wanahisa wakuu wa kampuni ya Simu za mkononi ya Vodacom Tanzania. Colao ambaye pia anahudhuria mkutano unaojadili masuala ya kiuchumi duniani (WEF) mjini Davos kama ilivyo kwa Rais Kikwete walipata nafasi ya kukutana na …
Gabon yaingia Robo Fainali AFCON
NCHI zote mbili wenyeji wa Mashindano ya Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON), yaani Gabon na Equatorial Guinea tayari zimefuzu kuingia hatua ya Robo Fainali za mashindano hayo. Gabon ilifanikiwa kupata ushindi wa magoli 3-2 katika dakika ya mwisho, ilipocheza dhidi ya Morocco siku ya Ijumaa, na kufuzu kuingia robo fainali katika mashindano ya AFCON. Mechi hiyo ilichezewa mjini Libreville. …