MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam ameendelea kutingisha vyombo vya habari baada ya leo kuibuka na majina mengine 65 ya watuhumiwa wa dawa za kulevya. Katika orodha hiyo mpya yumo tajiri maarufu Yusuf Manji, aliyekuwa Mbunge wa Kinondoni, Idd Azzan Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Mchungaji maarufu Gwajima. Akizungumza na waandishi wa habari Ofisi kwake leo jijini …
Waziri Lukuvi Agawa Hati za Kimila Vijiji vya Hembeti, Dihombo
Wakazi wa vijiji vya Hembeti na Dihombo wakisubiria kupata Hati miliki zao Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. William Lukuvi akitoa hotuba yake wakati wa alipozindua utoaji wa Hatimiliki za kimila wilayani Mvomero. Mratibu wa Elimu kata ya Hembeti, Charles Kikully akisoma Risala ya vijiji vya Hembeti na Dihombo kwa Waziri Lukuvi. Mkuu wa Wilaya …
Matumizi ya Takwimu Nchi Zinazoendelea Bado Kikwanzo
Mkurugenzi Mkuu Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Dk. Albina Chuwa akitoa hutuba yake. Balozi wa Umoja wa Ulaya Kanda ya Afrika Mashariki, Roland Van De Geer, akitsoma hutuba yake. Mkurugenzi Mkazi wa Benki ya Dunia, Bella Bird akizungumza kwenye mkutano huo. Mtafiti kutoka Taasisi ya Repoa, Dk. Blandina Kilama, akizungumza kwenye mkutano huo. Mtakwimu kutoka Menejimenti Ofisi ya Mtakwimu …
RC Atembelea Maandalizi ya Tamasha la Sauti za Busara
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Ayuob Mohammed Mahmoud akiwa na Mwenyekiti wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar Mhe. Simai Mohammed Said akimtembeza sehemu za kumbi zitakazofanyika kwa Tamasha hilo katika Majengo ya Ngome Kongwe Zanzibar. Fundi Mkuu wa Tamasha la Sauti za Busara Zanzibar Hamza Omar Abbas akitowa maelezo ya kukamilisha kwa ufungaji wa Vyombo vya …
Wanawake Washirikishwe Ardhi ya Familia Inapouzwa
MKUU wa Wilaya ya Kisarawe, Happyness Seneda amewataka watendaji na viongozi wa vijiji vya wilaya hiyo kuakikisha wanatoa vipaumbele kwa wanawake katika umiliki wa ardhi na pia familia kuwashirikisha wanawake kutoa uamuzi pale wanapotaka kuuza ardhi mali ya familia. Bi. Seneda alitoa kauli hiyo alipokuwa akifunga semina kwa baadhi ya madiwani, watendaji na wenyeviti wa …