Rais jakaya Kikwete, akionyesha mfano wa ufunguo wa Ukumbi huo baada ya kukabidhiwa wakati wa hafla ya uzinduzi wa ukumbi huo, mjini Dodoma. Picha na OMR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Jakaya Kikwete, akimkabidhi mfano wa ufunguo wa Ukumbi mpya wa mikutano wa CCM wa Dodoma Convention Centre, Katibu Mkuu wa CCM Bara, Abrahman Kinana, baada ya kuzindua rasmi ukumbi huo, mjini Dodoma. Picha na OMRPicha ya pamoja na baadhi ya Viongozi wa Chama na Serikali baada ya uzinduzi huo. Picha na OMRRais Jakaya Kikwetena baadhi ya Viongozi, wakitembelea kukagua ukubi huo baada ya uzinduzi. Picha na OMRRais Jakaya Kikwete na baadhi ya Viongozi, wakitembelea kukagua ukubi huo baada ya uzinduzi. Picha na OMRPicha ya pamoja baada ya kutembelea kukagua ukumbi huo. Picha na OMR