Isaya Mwita wa Ukawa Aibuka Kidedea Umeya wa Jiji la Dar es Salaam

111

UCHAGUZI wa Meya wa Jiji la Dar es Salaam ambao umefanyika leo katika ukumbi wa Kareemjee zimeshuhudiwa kuwa mgombea wa vyama vya UKAWA, kupitia chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mh. Isaya Mwita ameibuka kidedea kwa kupata kura 84 huku CCM wao wakipata kura 67 na kati ya jumla ya kura hizo 7 ziliaribikaambapo jumla ya kura za wajumbe wote ni 158.

1

11

Mh. Edward Lowassa na Godbless Lema wakiwasili Ukumbi wa Karimjee kunakofanyika uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es salaam leo.

22

Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt Vincent Mashinji (aliyesimama katikati) na Makamu Katibu Mkuu wa Chadema Zanzibar, Salum Mwalim (wa kwanza kutosho) na baadhi ya wajumbe wakiwa nje ya Ukumbi wa Karimjee ambapo wamefika kufuatilia uchaguzi wa Meya wa Jiji la Dar es salaam

33

Katibu Mkuu wa Chadema, Dkt Vincent Mashinji wa kwanza kushoto akijadiliana jambo na baadhi ya uchaguzi

A