Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Mahusiano
  • Page 2

Category: Mahusiano

Mwanamke Kuingia Hedhi Nchini India ni Mateso

Posted on: November 1, 2014 - jomushi
Post Tags: Hedhi, India ni Mateso, mwanamke
Mwanamke Kuingia Hedhi Nchini India ni Mateso

“SITAMWACHA binti yangu ateseke kama mimi ninavyoteseka nikiwa katika siku zangu. Familia yangu inafanya nijihisi najisi. Siruhusiwi kwenda jikoni, Siwezi kuingia hekaluni, Siwezi kukaa na…

Continue Reading....

Je, Wanawake ni Mabingwa wa Kuzuga Kitandani?

Posted on: October 31, 2014November 1, 2014 - admin
Post Tags: Mahusiano, mapenzi, wanawake
Je, Wanawake ni Mabingwa wa Kuzuga Kitandani?

  KAMA wewe ni mwanaume, basi bila shaka unafahamu ile milio na miguno ya wanawake wakati wa kujamiiana, na kama wewe ni mwanamke pia unafahamu…

Continue Reading....

Mwanafunzi UDSM Ajichoma Kisu kwa ‘Kusalitiwa’ Kimapenzi

Posted on: October 12, 2014September 27, 2016 - jomushi
Post Tags: Ajiua kwa Kisu, mapenzi, Mwanachuo UDSM
Mwanafunzi UDSM Ajichoma Kisu kwa ‘Kusalitiwa’ Kimapenzi

MWANAFUNZI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) amejichoma kisu cha tumbo na kufariki dunia muda mfupi baada ya kujichoma akiwa katika hosteli za…

Continue Reading....

Achana na Michepuko Baki Njia Kuu…!

Posted on: August 22, 2014August 23, 2014 - admin
Post Tags: Michepuko, tendo la ndio, wanaume, wanawake
Achana na Michepuko Baki Njia Kuu…!

“If a man can love one woman without lying, cheating, or misleading, he can do anything!” –Tony A. Gaskins Jr. TUMAINI katika jamii inayoendelea muda wote,…

Continue Reading....

Siri ya Wanawake Kupenda Wanaume Warefu hii Hapa!

Posted on: July 23, 2014November 2, 2015 - kizungumkuti
Siri ya Wanawake Kupenda Wanaume Warefu hii Hapa!

  Utafiti uliofanyika na kutolewa miezi kadhaa iliyopita na Vyuo Vikuu Vya Rice na North Texas, umegundua mambo kadhaa muhimu linapokuja suala la wanawake kupendelea…

Continue Reading....

Kama Una Mpango wa Kuoa au Kuolewa, Lazima Usome Hii! Sehemu ya 2

Posted on: April 21, 2014 - Rungwe Jr.
Post Tags: kujamiina, Mahusiano, mapenzi, Ndoa
Kama Una Mpango wa Kuoa au Kuolewa, Lazima Usome Hii! Sehemu ya 2

          Juma lililopita tuliangalia masuala matanohttp://www.thehabari.com/habari-tanzania/kama-una-mpango-wa-kuoa-siku-moja-lazima-usome-hii , ambayo unatakiwa uzingatie kabla haujafanya maamuzi mazito ya kufunga ndoa na mpenzi wako. Leo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari