Category: Habari za Vijijini
World Vision watumia bil 3.6 kuboresha shughuli za kijamii Manyara
Na Janeth Mushi, Simanjiro SHIRIKA la Misaada na Maendeleo ya Jamii ya World Vision Tanzania limetumia zaidi ya bilioni 3.6 kuboresha shughuli za kilimo, ufugaji…
Continue Reading....Dk. Chami afungua maonesho ya wajasiriamali Mbinga
Na Dunstan Mhilu, Mbinga MAONESHO ya wajasiriamali wadogo na wakati Kanda ya Kusini yamefunguliwa rasimi na Waziri wa Viwanda na Biashhara Dk. Cyril Chami katika …
Continue Reading....Njaa yawatisha Wanakijiji Matembo, Iringa
HALI ya chakula si nzuri katika Kijiji cha Matembo Jimbo la Ismani mkoani Iringa. Wanakijiji wa eneo hilo wanahitaji msaada wa chakula kutokana na hali…
Continue Reading....Biashara ya nyanya Ilula
Wafanyabiashara wa zao la nyanya Ilula Wilaya ya Kilolo mkoani Iringa, wakinadi bidhaa zao kwa mmoja wa wateja hivi karibuni eneo hilo. (Picha na mpiga…
Continue Reading....Kero ya maji ‘yawatibua’ nyongo wana-Ludewa
Na Mwandishi Wetu, Ludewa WANANCHI Ludewa Mjini, mkoani Njombe wamedai hawaoni umuhimu wa kuendelea kuwepo kwa Mamlaka ya Maji Ludewa Mjini (LUDWSSA) kwa sababu inaonekana…
Continue Reading....