Wanakijiji Kakola Waudai Fidia Mgogi wa Bulyanhulu

WAKAZI wa Kijiji cha Kakola, Kata ya Bulyanhulu, Wilaya ya Msalala mkoani Shinyanga wameazimia kufanya maandamano yasiyo na ukomo kushinikiza mgodi wa dhahabu wa Bulyanhulu kuwalipa fidia zao. Wakizungumza kwenye kongamano la Kijiji hicho lililofanyika jana juni 20,2017, wakazi hao wamepanga kupeleka kero zao Jijini Dar es salaam kwa Rais John Pombe Magufuli pamoja na kufanya maandamano ya kufunga barabara kushinikiza kulipwa …

DC Hai ‘Avamia’ Shamba la Mbowe, Ang’oa Mfumo wa Umwagiliaji…!

  Mkuu wa Wilaya ya Hai ,Gelasius Byakanwa akiwa na kamati ya ulinzi na usalama wilaya ya Hai katika lango la kuingilia katika shamba la Kilimo cha Kisasa la Mboga Mboga la Kilimanjaro Vegees Ltd lililopo Nshara Machame. Mkuu wa wilaya ya Hai,akiwaongoza wajumbe wa kamati ya ulinzi na Usalama ya wilaya Hai, pamoja na askari Mgambo wakiingia katika shamba …

COSTECH, OFAB Waendesha Mafunzo kwa Maofisa Ugani Geita

  Mkurugenzi wa Halmshauri ya Wilaya ya Mbogwe, (kulia), Elias Kayandabila, akizungumza  na waandishi wa habari, walioongozana na wataalamu wa kilimo kutoka Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech) pamoja na Jukwaa la Bioteknojia na Uhandisi Jeni (OFAB) waliopo mkoani Geita kwa ziara ya kutoa mafunzo ya kilimo chenye tija kwa maofisa ugani. Mkuu wa Wilaya ya Mbogwe, Martha …

Wananchi Kijiji cha Uhambila Wajadili Utunzaji Maliasili na Vyanzo vya Maji

Baadhi ya wananchi wakisikiliza kinachoendelea kwenye mkutano wa kijiji wa kujadili maswala ya utunzaji wa vyanzo vya maji pamoja Maliasili za kijiji hicho.   Na Fredy Mgunda, Iringa WANANCHI wa Kijiji cha Uhambila wilayani Mufindi Mkoani Iringa wametakiwa kutunza na kuvilinda vyanzo vya maji na maliasili zilizopo katika kijiji hicho. Akizungumza wakati wa mkutano wa hadhara wa kijiji hicho Afisa mradi …

Wananchi Waiomba Serikali Kukamilisha Daraja SIBITI

    WANANCHI wa kata ya Mpambala, wilaya ya Mkalama mkoani Singida wameiomba Serikali kuhakikisha inamaliza ujenzi wa Daraja la Mto Sibiti haraka iwezekanavyo ili kurahisisha huduma za mawasiliano kati ya wilaya ya hiyo na mikoa jirani ya Simiyu, Manyara na Mara.     Wananchi hao wamemweleza Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani, alipofika kukagua daraja …

Mvua Zakata Mawasiliano Chalinze, Wananchi Wabebwa Kuvushwa…!

  MBUNGE wa jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete,akiangalia barabara kutoka Vigwaza-Mwavi iliyoharibika vibaya eneo la Buyuni hali inayosababisha magari kushindwa kupita.   Mbunge wa jimbo la Chalinze Ridhiwani Kikwete,akizungumzia kero ya kuharibika kwa baadhi ya  miundombinu ya barabara kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha,ambapo mvua iliyonyesha april 7 na 8 imesababisha kuharibu barabara ya Vigwaza-Buyuni-Mwavi na ya Milo-Kitonga-Ruvu. Baadhi ya wakazi wanaotumia …