Mtandao wa COMNETA Wavunjika rasmi, Yazaliwa TADIO

MTANDAO mpya unaoundwa na Radio na vyombo vya habari vya kijamii Tanzania chini ya shirika la vyombo vya habari vya maudhui ya kijamii uliosajiliwa kwa jina la TANZANIA DEVELOPMENT INFORMATION ORGANIZATION-TADIO umeanzishwa rasmi baada ya kuvunjika kwa mtandao wa zamani wa COMNETA. Tukio hilo limetokea Julai 28, 2017 katika mkutano mkuu wa kwanza ambao pamoja na mambo mengine ulichagua safu mpya …

Mkurugenzi Mtedaji Songwe Ageuka Mwalimu Ziarani, Aingia Darasani

 Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Ileje Mkoani Songwe Haji Mnasi akiwa darasani kufundisha wanafunzi wa shule msingi alizotembea katika ziara yake. Na Fredy Mgunda, Ileje   KATIKA hali isiyozoeleke kwa watumishi wengi wa Idara ya Elimu wilayani Ileje mkoani Songwe  kwa Mkurugenzi Mtedaji wa Halmsahauri ya wilaya hiyo kwa kuingia kwenye baadhi  ya shule za msingi na kufundisha.   Mkurugenzi …

DC Babati awataka wakulima kuunga mkono jitihada za watafiti wa mbegu

                            Na Joachim Mushi, Babati MKUU wa Wilaya ya Babati, Raimond Mushi amewataka wakulima kufuata maelekezo ya wataalamu wa kilimo wakiwemo watafiti wa mbegu bora chotara za mahindi zinazostahimili ukame, magonjwa (WEMA) ili waweze kuendesha kilimo chenye tija na kuachana na kilimo cha kujikimu ambacho hakiwezi kuwapa …

WATAFITI WAOMBWA KUJIKITA KATIKA MAZAO YA CHAKULA

   Mkurugenzi wa Halmshauri hiyo, Margareth Nakainga, akizungumza katika mafunzo hayo.  Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya hiyo, Adam Malunkwi, akimkaribisha mgeni rasmi mkuu wa wilaya hiyo kufungua mafunzo hayo. Kushoto ni Katibu Tawala wa Wilaya hiyo, Paschal Byemelwa.  Mshauri wa Jukwaa la Bioteknolojia (OFAB), Dk. Nicholaus Nyange akitoa mada.  Mkuu wa Idara ya Kilimo na Ushirika wa wilaya hiyo, Abdulusalam …

Wakulima wa Mahindi Handeni Wanogewa na Mbegu za WEMA

                  Na Joachim Mushi, Handeni WAKULIMA wa Mradi wa utafiti wa mbegu bora chotara za mahindi zinazostahimili ukame (WEMA), wilayani Handeni wameiomba Serikali irekebishe sheria ya uzalishaji wa mbegu ili kutanua wigo wa uzalishaji mbegu kupitia taasisi za Serikali kama vile Jeshi la Kujenga Uchumi (JKT), Jeshi la Magereza pamoja na zinginezo …

TANZANIA YA UCHUMI WA VIWANDA ITAFANIKIWA KWA KILIMO CHA KITAFITI

  Mkuu wa Wilaya ya Nzega mkoani Tabora, Geofrey Ngupula akizungumza na maofisa ugani na waandishi wa habari ofisini kwake.   Kaimu Mkurugenzi wa wilaya hiyo Hadija Kabojela akizungumza katika mafunzo hayo.   Mtafiti wa Kilimo kutoka COSTEC, Bestina Daniel akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH. Katibu Tawala wa wilaya hiyo, Onesmo Kisoka akizungumza kwenye mafunzo hayo. Mshauri …