Na Joachim Mushi, Aliyekuwa Kishapu MBUNGE wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jimbo la Kishapu mkoani Shinyanga, Seleiman Nchambi amewaomba wapiga kura wake kuwa wavumilivu juu…
Continue Reading....Category: Habari za Vijijini
TGNP yakabidhi Vifaa vya Mawasiliano Vituo vya Taarifa na Maarifa
MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP), umepanua wigo wa mawasiliano kwa makundi ya pembezoni hasa wanwake kwa kuwapatia vifaa vya teknolojia ya habari na Mawasiano (TEHAMA)…
Continue Reading....Rombo Waomba Elimu na Wataalam wa Homa ya Nguruwe
Na Mwandishi Wetu, Rombo SIKU chache baada ya kuripotiwa kuwepo kwa ugonjwa wa homa ya nguruwe wilayani Rombo, baadhi ya wakazi wa wilaya hiyo wameiomba…
Continue Reading....TGNP Yaendesha Warsha Mbeya Juu ya Namna ya Kuanzisha na Kutumia Vituo vya Taaifa na Maarifa
Na Pendo Omary, Mbeya Vijijini MTANDAO wa Jinsia Tanzania (TGNP) umeendesha warsha ya siku mbili kuhusu namna ya kuanzisha na kutumia vituo vya taarifa na…
Continue Reading....Shule za Kata Zajiendesha kwa Fedha za Walimu Wakuu
Na dev.kisakuzi.com, Rombo CHAMA cha Walimu Tanzania (CWT), Wilaya ya Rombo kimesema shule nyingi za Sekondari za Kata wilaya hiyo na maeneo mengine nchini zinajiendesha kwa…
Continue Reading....Wilaya ya Rombo Kutumia Nyuki Kupambana na Tembo Wavamizi
Na dev.kisakuzi.com, Rombo HALMASHAURI ya Wilaya ya Rombo imeanza mipango ya kutumia ufugaji wa nyuki kukabiliana na tembo waharibifu ambao mara kadhaa huvamia baadhi ya…
Continue Reading....