Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Vijijini
  • Page 15

Category: Habari za Vijijini

Wamasai Ngorongoro Waunda Baraza la Wanawake

Posted on: April 15, 2014 - jomushi

Kutokana na kukithiri kwa mfumo dume unaoambatana na ukandamizaji wa mwanamke na kusababisha ongezeko la watoto yatima na wajane katika jamii ya wafuagaji wa kimasai, wanawake wa…

Continue Reading....

Mkuranga na Ukombozi Kiuchumi Toka MKURABITA

Posted on: April 8, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, vijijini
Mkuranga na Ukombozi Kiuchumi Toka MKURABITA

*‘Hatimiliki za ardhi ni pasipoti kuelekea uchumi rasmi’         *Benki zatakiwa kuzitambua kwa mikopo   “Tumieni hati kutafuta mikopo yenye thamani kubwa ili iwaletee maendeleo sio…

Continue Reading....

Serikali Yatatua Kero ya Maji Kijijini Ngoyoni Rombo

Posted on: March 31, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, habari za nyumbani
Serikali Yatatua Kero ya Maji Kijijini Ngoyoni Rombo

Yohane Gervas, Rombo WAKAZI wa Kijiji cha Ngoyoni Kata ya Ngoyoni Tarafa ya Mengwe, Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro wameipongeza Serikali wilayani humo kwa kuwaondolea…

Continue Reading....

Maisha ya ‘Geto’ Changamoto kwa Wanafunzi Sekondari za Kata Tanga

Posted on: March 25, 2014March 26, 2014 - jomushi
Post Tags: featured, tanga
Maisha ya ‘Geto’ Changamoto kwa Wanafunzi Sekondari za Kata Tanga

UJENZI wa Sekondari za Kata katika mikoa mbalimbali umesogeza huduma za elimu kwa baadhi ya maeneo. Ipo mikoa ambayo awali ilikuwa na shule chache za…

Continue Reading....

Wanafunzi 500 Waliochanguliwa Kidato cha Kwanza Waingia Mitini..!

Posted on: March 10, 2014 - jomushi
Wanafunzi 500 Waliochanguliwa Kidato cha Kwanza Waingia Mitini..!

Yohane Gervas, Rombo ZAIDI ya wanafunzi 500 waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2013 ambao wangetakiwa kuanza kidato cha kwanza mwaka huu (2014) hadi sasa…

Continue Reading....

Serikali Makete Yatoa Bati kwa Waathirika wa Maafa ya Kimbunga

Posted on: March 7, 2014March 7, 2014 - jomushi
Serikali Makete Yatoa Bati kwa Waathirika wa Maafa ya Kimbunga

Na Edwin Moshi, Makete HALMASHAURI ya Wilaya ya Makete kwa kushirikiana na mfuko wa jimbo, umekabidhi msaada wa mabatia 180 kwa waathirika wa maafa ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari