RIDHIWAN KIKWETE AHIMIZA WANANCHI KUJITOA SHUGHULI ZA MAENDELEO

Na Mwamvua Mwinyi, Chalinze MBUNGE wa jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete, amewahimiza wananchi kujenga tabia ya kujitolea katika shughuli za kimaendeleo pasipo kuachia Serikali/halmashauri na wahisani pekee. Aidha amesema ofisi yake na halmashauri wataendelea kuunga mkono juhudi za wafadhili na wadau wanaojitokeza kushirikiana nao kutatua changamoto zinazowakabili jimboni hapo ikiwemo elimu. Ridhiwani alitoa rai hiyo, wakati wa uzinduzi wa majengo …

WILAYA YA NEWALA INAHITAJI TEKNOLOJIA YA KISASA KUINUA KILIMO

   Mkuu wa Wilaya ya Newala, Aziza Mangosongo, akizungumza na maofisa ugani wakati akifungua mafunzo ya siku moja ya jinsi ya kutumia sayansi na teknolojia katika kuboresha kilimo kwa maofisa ugani kutoka  Halmashauri ya Wilaya ya Newala ambayo yameandaliwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH) kupitia Jukwaa la Bioteknolojia kwa Maendeleo ya Kilimo (OFAB). Kutoka kushoto ni Mtafiti, …

WAKULIMA LINDI WAUPA JINA LA UKIMWI UGONJWA WA MIHOGO

 Mwenyekiti wa Kijiji cha Ruyaya kilichopo Kata ya Lihmalyao wilayani Kilwa Mkoa wa Lindi, Hassan Amanzi, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya kilimo kwa wakulima wa Kijiji hicho yaliyofanyika wilayani humo jana. Wengine ni viongozi na wajumbe wa kijiji hicho. Mafunzo hayo yaliandaliwa na Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (COSTECH).     Wazee na vijana wakiwa kwenye mafunzo …

NEWALA YAKABILIWA NA UHABA WA MAOFISA UGANI NA MIFUGO

Mwezeshaji kutoka Jukwaa la Bioteknolojia Tanzania (OFAB), Dk. Emmarold Mneney (kulia), akitoa mafunzo ya siku moja ya kilimo chenye tija  kwa wakulima wa Mkoa wa Mtwara  kwenye Maonyesho ya Kitaifa ya Nanenane yanayoendelea kwenye viwanja vya Ngongo mkoani Lindi jana. Wakulima wakiwa kwenye mafunzo hayo. Mafunzo yakiendelea. Mkulima Mohamed Ismail kutoka Kijiji cha Mnyambe wilayani Newala akizungumza kwenye mafunzo hayo. …

COSTECH YATOA MAFUNZO YA KILIMO CHENYE TIJA KWA WAKULIMA KATIKA MAONYESHO YA NANENANE MKOANI LINDI

Wakulima wakiwa kwenye mafunzo hayo. Usikivu katika mafunzo hayo yaliyofanyika Ukumbi wa Mikutano katika Jengo la Halmshauri ya Wilaya ya Kilwa lililopo katika viwanja hivyo vya Ngongo. Mafunzo yakiendelea. Mkulima kutoka Wilaya ya Kilwa, Omari Kijuwile akichangia jambo kwenye mafunzo hayo. Dadi Uredi Chibwana mkulima kutoka Kijiji cha Kiwalala Lindi Vijijini akielezea changamoto mbalimbali walizonazo wakulima katika mkoa huo. Mkulima …

MHANDISI RAMO MAKANI AZUNGUMZA NA WAKAZI KIJIJI CHA MSHIRI KUHUSU ENEO LA NUSU MAILI

  Mkuu wa Wilaya ya Moshi, Kippi Warioba akiongozana na Naibu Waziri wa Malisili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani walipotembelea kijiji cha Mshiri katika wilaya ya Moshi kusikiliza Changamoto zinazo wakabili wananchi waishio kando ya Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro. Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhandisi Ramo Makani akiwa na Mbunge wa Jimbo la Vunjo, James Mbatia katika mkutano wa wananchi …