Mtoto wa Rais, Dk. Jakaya Kikwete, Ridhiwani Kikwete amemshukia aliyekuwa Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) mkoa wa Arusha, James Ole…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Rais wa SMZ afunga msimu wa uchumaji wa Karafuu
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amefunga rasmi msimu wa uchumaji wa karafuu mwaka 2011/2012 na kusisitiza kuwa uchumaji unamalizika lakini vita…
Continue Reading....Mradi wa tangi la maji wakamilika-Ziwani Pemba
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,Dk.Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuashiria ufunguzi wa Tangi la Maji la Ziwani Wilaya ya Chake chake Pemba,…
Continue Reading....Dk Shein azungumza na kikosi kazi kilichoshughulikia zao la karafuu
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akisalimiana na Viongozi wa Vikosi vya Ulinzi ambao ni Wajumbe wa Kikosi cha…
Continue Reading....JAJI CHANDE AHIMIZA MABADILIKO KATIKA MAHAKAMA ZA AFRIKA MASHARIKI
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mohamed Chande amezitaka mahakama katika nchi wanachama wa Afrika Mashariki kufanya mabadiliko makubwa katika mfumo wake wa utendaji ili kuleta ufanisi…
Continue Reading....Mh. Rais wa Zanziba na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amaliza ziara Pemba
Rais wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la mapinduzi Dk Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kama ishara ya uzinduzi wa madarasa mapya ya kusomea katika skulimya…
Continue Reading....