Na Mwandishi Wetu SERIKALI inapaswa kuchukua hatua za haraka kuelekeza viongozi wa vijiji nchini taratibu za kushughulikia migogoro ya kisheria ili kuepusha viongozi kujichukulia hatua…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Kulisuka upya Baraza la Mawaziri suluhisho la muda
Kamati Kuu ya Chama Cha Mapinduzi imemwelekeza Rais Jakaya Kikwete “kusuka upya” Baraza la Mawaziri, kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa juzi. Hayo hayakuwa matazamio ya…
Continue Reading....JK apongeza wabunge kuwasulubu mawaziri
Rais Jakaya Kikwete amesema hakusikitishwa wala kufedheheshwa na mjadala wa wabunge wakati wa Mkutano wa Saba wa Bunge uliotoa mapendekezo kwa mawaziri ambao wizara zao…
Continue Reading....Feri ya zama India watu 103 wafariki
Takriban watu 103 wanahofiwa kufariki baada ya feri walimokuwa wakisafiria kugongwa na dhoruba Kaskazini Mashariki mwa India. Polisi wamethibitisha taarifa hiyo. Taarifa zinasema kuwa feri…
Continue Reading....UBADHIRIFU,WIZI WA MALI ZA UMMA KIKWAZO CHA SERIKALI KUONGEZA MISHAHARA YA WAFANYAKAZI.
VITENDO vya ubadhirifu wa mali za umma,ufisadi na wizi kwa baadhi ya watumishi na viongozi ni moja ya sababu inayoifanya serikali kukosa mapato na hivyo…
Continue Reading....Wafanyakazi walizwa na Mishahara duni Mei day-Tanga
Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki kuimba wimbo wa wafanyakazi akiwa kashikana mikono na Rais wa Jumuiya ya Vyama vya wafanyakazi (TUCTA) Mh, Waziri wa…
Continue Reading....